Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.

Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.

Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.

Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.

Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.

Nawasilisha.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watu mnahela aisee pomoja na hali ilivyokua ngumu kuna baadhi ya watanzania wanalala njaa hawajui kesho yake wataamka vp halaf upande mwingne watu mnamawazo ya kumchangia mtu 50000 tena unapendekeza ipatikane bilion 1 au 2 apewe mtu aishie USA anauhakika na maisha yake ....mambo mengne kabla ya kutoa post muwe mnajifikiria kidogo
 
yaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni
 
kama ana watu 1.4m wakitoa nusu tu ni 35biloni
wakitoa robo ni 17.5 bilioni
wakitoa basi robo ya robo ya viwers wake ni 4 bilion
wakitoa laki tu 6 bilioni
 
Kwa kweli Dada huyu hata mm amenivumbua mambo mengi sana juu ya serikali hii yaliyokuwa nyuma ya pazia wanayaficha na ktk hali ya kawaida ni ngumu kuyajua...[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom