Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Wasiwasi wangu ni kwamba hapo ulipo utakuwa umepakatwa sasa unahisi wanaume wote wanatabia kama zako
Siku wahi kujua kwamba account hii ni ya Dada Jane..aka..Gentamycine almaarufu kama kilainishi..

Kilicho kuwasha na kukupekenyua pamchonyo ni nini mpaka ukimbie chupi mkononi kujibu wanaume ?

Acha mambo ya kishamba!

Dada Jane Ids zako zote zina Mushkeli..Gentamycine ni kilainishi..JimyChoko nayo unatupa majibu pasi maswali!

Hakika wanaume tumebaki wachache..yani hata wewe una danga mtandaoni?

mavi kunuka!
 
Siku wahi kujua kwamba account hii ni ya Dada Jane..aka..Gentamycine almaarufu kama kilainishi..

Kilicho kuwasha na kukupekenyua pamchonyo ni nini mpaka ukimbie chupi mkononi kujibu wanaume ?

Acha mambo ya kishamba!

Dada Jane Ids zako zote zina Mushkeli..Gentamycine ni kilainishi..JimyChoko nayo unatupa majibu pasi maswali!

Hakika wanaume tumebaki wachache..yani hata wewe una danga mtandaoni?

mavi kunuka!
Hata maandishi yako yanadhihirisha kitu kimo ndani
 
Mkuu;
Naona unamdanganya mke wa mtu awaache watoto wake kwenye shida kisa ni kuja kuchukua hela ya madafu ambayo haikuweza kumsaidia Lissu hapo Nairobi. Huyu mdada haruhusiwi kufika hata Cairo au Capetown.
Unamtakia mabaya yote hayo kakufanyani??
 
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.

Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.

Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.

Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.

Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.

Nawasilisha.
Mdau snitch kingesee yaani
 
binafsi mie nampenda yes alitutukania EL lakini nampenmda hvyo hvyio !weng hawamuelew mange kwasababu ya lugha kali
 
Huyo dada ni jasiri. Lkn nimshali binafsi awe makini kwa kweli. Maaana hivi juzi juzi kamanda...... Aliwepo kwa nchi jirani yenye tabia ya kuuwa wapinzani walio hata nje ya mipaka ya nchi. Nilistuka mno. Kwa hiyo achukue tahadhari. Ametengeneza maadui wengi kwenye huo ujasiri wake. Ambao wanauwezo wa kumfikia huko aliko
 
Back
Top Bottom