Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 1,604 Reaction score 3,715 Nov 19, 2024 #1 Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Nov 19, 2024 #2 Kwani hii timu ni mali ya nani? Hao JKT, scout na wanafunzi siyo watanzania?
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Nov 19, 2024 #3 Kushangilia taifa stars ni kupoteza muda
S saiko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 782 Reaction score 922 Nov 20, 2024 #4 Allen Kilewella said: Kwani hii timu ni mali ya nani? Hao JKT, scout na wanafunzi siyo watanzania? Click to expand... Mtoa mada mpumbavu
Allen Kilewella said: Kwani hii timu ni mali ya nani? Hao JKT, scout na wanafunzi siyo watanzania? Click to expand... Mtoa mada mpumbavu