Watanzania takriban milioni 70 wakiamua kumfurusha Samia hawatashindwa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Watanzania takriban milioni 70 wakiamua kumfurusha Samia hawatashindwa.

Hakuna polisi wala jeshi hapa Tanzania linaloweza kukabiliana na ghadhabu ya watu milioni 70.

Polisi na hao JWTZ hawana silaha za kuweza kuwaua Watanzania milioni 70 halafu na wao wakabaki kuwa hai.

Laiti Watanzania tukiamua, hakutahitajika idadi ya watu wote hao.

Polisi wa Tanzania ni dhaifu mno.

Ikijitokeza hata nyomi ya watu milioni 10 tu nchi nzima, CCM na Samia kwisha habari yao.

Adui mkuu wa Watanzania hivi sasa ni uoga tu.

Hapa Dar tu kwa mfano, nyomi ya mtu laki tano ikijitokeza na kuamua kwenda kumtoa Tundu Lissu kutoka gereza la Ukonga, atatoka mapema sana.

Sasa hivi mtaji wa CCM ni uoga na ujinga wa Watanzania wengi.

Kwangu adui ambaye tukimshinda tutakuwa tumemaliza kazi, ni adui uoga.
 
Vilaza hawawezi kupambana na nguvu ya umma. Hawa jamaa wanategemea mabavu kwa sababu vichwani hawana kitu.
 
Watanzania takriban milioni 70 wakiamua kumfurusha Samia na hao wauaji wenzake, hawatashindwa.

Hakuna polisi wala jeshi hapa Tanzania linaloweza kukabiliana na ghadhabu ya watu milioni 70.

Polisi na hao JWTZ hawana silaha za kuweza kuwaua Watanzania milioni 70 halafu na wao wakabaki kuwa hai.

Laiti Watanzania tukiamua, hakutahitajika idadi ya watu wote hao.

Polisi wa Tanzania ni dhaifu mno.

Jeshi la Tanzania ni dhaifu na limejaa vilaza wenye single digit IQs.

Ikijitokeza hata nyomi ya watu milioni 10 tu nchi nzima, CCM na Samia kwisha habari yao.

Adui mkuu wa Watanzania hivi sasa ni uoga tu.

Tukiushinda uoga, huyo muuaji wa Kizimkazi kwisha habari yake.

Hapa Dar tu kwa mfano, nyomi ya mtu laki tano ikijitokeza na kuamua kwenda kumtoa Tundu Lissu kutoka gereza la Ukonga, atatoka mapema sana.

Sasa hivi mtaji wa CCM ni uoga na ujinga wa Watanzania wengi.

Kwangu adui ambaye tukimshinda tutakuwa tumemaliza kazi, ni adui uoga.

Samia ni muuaji anayestahili kuuliwa na yeye.
Hapa kuna jambo moja muhimu: kupinga mauaji kwa kuitikia mauaji hakutatupeleka kwenye haki, kutatupeleka kwenye mzunguko wa damu na kisasi.

Kama kuna viongozi au watu wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji, njia sahihi ni kuwawajibisha kwa ushahidi, sheria na taasisi za haki—si kuwataka wao wauawe. Vinginevyo tunakuwa tumepinga uovu kwa kutumia uovu huohuo.

Nguvu ya wananchi haipimwi kwa idadi ya watu wanaoweza kumiminika mitaani, bali kwa uwezo wao wa kudai haki kwa amani, nidhamu na mshikamano, bila kuwadhuru wengine.

Na kusema polisi au JWTZ ni “dhaifu” kwa sababu hawawezi kuua mamilioni ya wananchi si hoja ya kujenga Taifa. Taifa linahitaji jeshi na polisi wanaolinda raia, na raia wanaoheshimu maisha na sheria.

Tukatae mauaji kwa ujumla wake—bila kujali muuaji ni nani, mwathirika ni nani, au tunampenda au hatumpendi. Hapo ndipo tunapokuwa na msimamo wa kweli.
 
I don’t care.

Mimi nataka Samia na wenzake wauliwe tu.
 
Screenshot_20260524-012908~2.jpg
 
I don’t care.

Mimi nataka Samia na wenzake wauliwe tu.
Hoja
Kumtaka mtu awajibishwe kwa makosa yake ni jambo la msingi, lakini kutamani au kuhalalisha mauaji si suluhisho. Tujenge hoja kwa ushahidi na sheria, si kwa chuki na damu.
 
Watanzania takriban milioni 70 wakiamua kumfurusha Samia na hao wauaji wenzake, hawatashindwa.

Hakuna polisi wala jeshi hapa Tanzania linaloweza kukabiliana na ghadhabu ya watu milioni 70.

Polisi na hao JWTZ hawana silaha za kuweza kuwaua Watanzania milioni 70 halafu na wao wakabaki kuwa hai.

Laiti Watanzania tukiamua, hakutahitajika idadi ya watu wote hao.

Polisi wa Tanzania ni dhaifu mno.

Jeshi la Tanzania ni dhaifu na limejaa vilaza wenye single digit IQs.

Ikijitokeza hata nyomi ya watu milioni 10 tu nchi nzima, CCM na Samia kwisha habari yao.

Adui mkuu wa Watanzania hivi sasa ni uoga tu.

Tukiushinda uoga, huyo muuaji wa Kizimkazi kwisha habari yake.

Hapa Dar tu kwa mfano, nyomi ya mtu laki tano ikijitokeza na kuamua kwenda kumtoa Tundu Lissu kutoka gereza la Ukonga, atatoka mapema sana.

Sasa hivi mtaji wa CCM ni uoga na ujinga wa Watanzania wengi.

Kwangu adui ambaye tukimshinda tutakuwa tumemaliza kazi, ni adui uoga.

Samia ni muuaji anayestahili kuuliwa na yeye.
ndoto nyingine za kiwendawazimu sana ais dah :pedroP:
 
Back
Top Bottom