Mimi bado sijaona cha kumsifia kwa siku zote mia moja.Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi?
Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera kila kona ya nchi kama vile samia mashuka juu. Radio, tv, magazeti, midahalo nk. vimesikiaka vikiumuona mama kama masiha au nabii.
Tutakuja kujuta baadaye kama tulivyojuta kwa kumsifia dikteta.
Kwanin umeamua kujitusi kiasi hicho?sisi kama nyumbu tunasema haiwezekani,maana ni zamu yetu.tunakwenda na mama.
Mkuu asante sana sana. Wewe umeona ambacho wengi hawakioni. Kwangu mimi mama Samia hakuna kitu special sana amekifanya zaidi ya kutoendeleza ule ukatili wa Magufuli. Anyways siyo kama nadharau aliyofanya, amejitahidi kiasi chake, lakini haya mambo ya kusifu kama tunamsifu masiha au Mungu ni mambo yaliyopitwa na wakati. Yanafanya rais asione njia sahihi.Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi?
Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera kila kona ya nchi kama vile samia mashuka juu. Radio, tv, magazeti, midahalo nk. vimesikiaka vikiumuona mama kama masiha au nabii.
Tutakuja kujuta baadaye kama tulivyojuta kwa kumsifia dikteta.
Kulikuwa kama na kuna ujanja fulani wa kukwepa maswali magumu. Kawaida mikutano kama hii huwa inakuwa na follow up questionsTukio la wahariri.
Mziki umechukua mda wawauliza maswali,hii siyo sawa kabisa
Hii ilitokea kwa Mobutu pia, walimsifu sana na akawa anapenda sifa hizo, mwishowe akawachoka na kuanza kuwapuuza. Mwisho wa siku alipokufa wale waliokuwa wakimsifu wakaanza kujitetea kama vile walilazimishwaKuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi?