Watanzania tuache kutengeneza taharuki. Kama Nchimbi ana shida familia yake ingesema

Mmanu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
2,103
Reaction score
1,419
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
Emmanuel_Nchimbi.jpg
 
View attachment 3669667
 
Attachments

  • FB_IMG_1789136148044.jpg
    FB_IMG_1789136148044.jpg
    91 KB · Views: 13
S
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
Sijaona swali lako la msingi hapo......Polepole ndugu zake walijitokeza. Je, ameludi?
 
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
Wapiga kura wake na aliokuwa makamu wao wa rais(whether legally or illegally) wana haki ya kufahamu alipo na hali yake ya sasa, vipi na kuhusu kwamba familia amepigwa biti kumuongelea, kuna ulinzi mkali na vyombo vya habari vya kimataifa vimezuiwa kuwahoji familia? This translates kwamba hawako kimya kwa hiyari yao, you might be one those who has put Nchimbi's family under siege literally and figuratively.
 
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
Unamjua MTU yeyote kwenye familia ya Nchimbi aliyesema anajua aliko ndugu Yao?
 
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
ok.🐒
 
Back
Top Bottom