Kutoa maoni, ni nini huelewi?Haki Yao ipi? Kuhoji mtu asiye wahusu wana haki gani?
Mwenye nafasi nzuri ya kuthibitisha hajafa ni yule atakayetuonyesha yupo wapi akiwa hai. Tofauti na hapo jamaa keshatangulizwa.Lete ushahidi kama kauliwa.
Yaani mtu amezunguka nchi nzima kuwabembeleza watanganyika wampigie kura Samia Leo hii unasema hatuhusu? Utakuwa na breakdown kwenye ubongo wako weweHaki Yao ipi? Kuhoji mtu asiye wahusu wana haki gani?
Kuwa na subira watakujibu wengine, kiongozi!Unatoa hayo maoni umewahi kwenda kwake ukamkosa?
Kwasababu kwa sio yeye sio kiongozi Wala hajihusishi tena na siasa je Kuna ulazima wa kuonekana kwa watu?
Mama yake Polepole pamoja na kaka yake walikuwa wanataka kujua Polepole yuko wapi lakini sasa naona wapo kimya sijui nao wametekwa au wamenyamazishwa au wamekata tamaa.vipi kama ndugu zake wamemriwa wasiseme chochote?
Hilo limeshapita mkuu....au umesahau kwamba kwa sasa sio kiongozi tena na ameacha kabisa siasa?Yaani mtu amezunguka nchi nzima kuwabembeleza watanganyika wampigie kura Samia Leo hii unasema hatuhusu? Utakuwa na breakdown kwenye ubongo wako wewe
Umejuaje kuwa hawa husu?Haki Yao ipi? Kuhoji mtu asiye wahusu wana haki gani?
Kuwa stupid hakuhalalishi kufanyiwa udhalimu, what is your point?Ikiwa hivyo unavyodhani basi hao ndugu ni very stupid.
Hatuleti taaruki,Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.
Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..
Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
Umeandika kitu kikubwa sana lakini bado tunarudi kule kule..je Kuna jitihada zimefanyika za kumtafuta anakoishi na akakosekana?Hatuleti taaruki,
Katika nchi ambapo balozi anapotea kabisa! Wanasiasa wanatekwa, mtu anatekwa anafungwa pingu, polisi ndio wanaenda kuzifungua, mbunge anapigwa risasi 19 mchana kweupeee! Bro usiwe kwenye denial kama mgonjwa wa ukimwi!
Kama ngoma imekupata, kula ARV tu!
Wazungu wana msemo! "If it walks like a duck, and sound like a duck, then it's a duck"
We are not being paranoid! Makubwa inawezekana yamempata Nchimbi,
Weka picha yake akikabidhi ofisi kwa mrithi wake!
Stop being apologetic! Unless ur one of ccm people,
Stockholm Syndrome ni ugonjwa wa akili!
Watu wanakutesa, lakini unatafuta sababu na mantiki kuonyesha, hawakutesi, inawezekana wewe mteswaji ndio unashida au unawaza vibaya!