Watanzania tuache kutengeneza taharuki. Kama Nchimbi ana shida familia yake ingesema

Watanzania tuache kutengeneza taharuki. Kama Nchimbi ana shida familia yake ingesema

Serikali ya kihuni ya sa100 ndiyo inaleta taharuki kwa kumuua.kama yupo kwa nini inamficha wakati alikuwa ni kiongozi wa watanganyika wote?
Unao huo ushahidi wa kuuliwa? Ukiambiwa toa ushahidi utaweza kutoa?
 
Hyo alikuwa makamo wa rais wa Tanzania sio familia yake.
Alafu lazma tuwe na hofu maana michezo yao tunaijua.
 
Mtoeni nje huyo mzee, acheni upuuzi wenu kumficha ndani kama mwali.
 
vipi kama ndugu zake wamemriwa wasiseme chochote?
Mama yake Polepole pamoja na kaka yake walikuwa wanataka kujua Polepole yuko wapi lakini sasa naona wapo kimya sijui nao wametekwa au wamenyamazishwa au wamekata tamaa.
 
Yaani mtu amezunguka nchi nzima kuwabembeleza watanganyika wampigie kura Samia Leo hii unasema hatuhusu? Utakuwa na breakdown kwenye ubongo wako wewe
Hilo limeshapita mkuu....au umesahau kwamba kwa sasa sio kiongozi tena na ameacha kabisa siasa?
 
We unaona ni kawaida kiongozi mkuu wa umma anatoweka tu bila umma kujulishwa? Familia yake haina itifiki ya kueleza ndugu yao yuko wapi, ni serikali inawajibika kwa hilo. Yule ni mtu mkubwa kitaifa, sio mwananchi wa kawaida
 
Wana JF natumai hamjambo kabisa
Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma.

Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani mwa watu kwa kuhoji uwepo wa makamu wa Rais aliyejiuzuru ambapo wengine wanapenda mbali zaidi ya kuulizia juu ya kutoonekana kwake..

Kama familia yake au ndugu zake hawajajitokeza hadharani kuhoji uwepo wake wewe ni nani hasa utake kujua uwepo wake?
View attachment 3669667
Hatuleti taaruki,
Katika nchi ambapo balozi anapotea kabisa! Wanasiasa wanatekwa, mtu anatekwa anafungwa pingu, polisi ndio wanaenda kuzifungua, mbunge anapigwa risasi 19 mchana kweupeee! Bro usiwe kwenye denial kama mgonjwa wa ukimwi!
Kama ngoma imekupata, kula ARV tu!
Wazungu wana msemo! "If it walks like a duck, and sound like a duck, then it's a duck"
We are not being paranoid! Makubwa inawezekana yamempata Nchimbi,
Weka picha yake akikabidhi ofisi kwa mrithi wake!
Stop being apologetic! Unless ur one of ccm people,
Stockholm Syndrome ni ugonjwa wa akili!
Watu wanakutesa, lakini unatafuta sababu na mantiki kuonyesha, hawakutesi, inawezekana wewe mteswaji ndio unashida au unawaza vibaya!
 
VP ni Mali ya Umma ndio mana analindwa na Kodi za watanzania mpaka kufa kwake
 
Hatuleti taaruki,
Katika nchi ambapo balozi anapotea kabisa! Wanasiasa wanatekwa, mtu anatekwa anafungwa pingu, polisi ndio wanaenda kuzifungua, mbunge anapigwa risasi 19 mchana kweupeee! Bro usiwe kwenye denial kama mgonjwa wa ukimwi!
Kama ngoma imekupata, kula ARV tu!
Wazungu wana msemo! "If it walks like a duck, and sound like a duck, then it's a duck"
We are not being paranoid! Makubwa inawezekana yamempata Nchimbi,
Weka picha yake akikabidhi ofisi kwa mrithi wake!
Stop being apologetic! Unless ur one of ccm people,
Stockholm Syndrome ni ugonjwa wa akili!
Watu wanakutesa, lakini unatafuta sababu na mantiki kuonyesha, hawakutesi, inawezekana wewe mteswaji ndio unashida au unawaza vibaya!
Umeandika kitu kikubwa sana lakini bado tunarudi kule kule..je Kuna jitihada zimefanyika za kumtafuta anakoishi na akakosekana?

Nimejaribu kuongea hilo ili tuwe na uhakika wa tunayoyaongea na sio kubuni kwa hisia zetu
 
Back
Top Bottom