Watanzania tuache unafiki hatukustahili tuzo hata moja MTV MAMA awards

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Usiku wa jumamosi ya October 22, 2016 Johannesburg Afrika kusini ndio siku ambayo zilitolewa tuzo za MTV kwa wasanii waliofanya vizuri ila wasani wa Tanzania walikuwa katika category nane Kama ifuatavyo

1.Artist of the year (winner-wizkid) alimshinda diamond (Tanzania) kwa maoni hii hatukustahili wizkid alifanya vizuri kuliko diamond

2.Best new act (winner-tekno) akimpiku rayvanny kutoka Tanzania
Kumuweka tekno na rayvanny category moja ni sawa na azam kucheza Leicester city

3.Song of the year (my woman ya patoranking) walikuwa category moja na sauti Sol ft alikiba (unconditional bae ) niishie hapo bila maelezo

4.Best group (winner-sautisol) huku navy kenzo kutoka Tanzania wakiambulia patupu

5.Best collaboration (winner-DJ maphrosia ft wizkid ft DJ bucks -Soweto baby huku sautisol ft alikiba (unconditional bae) wakiula na chuya

6.listeners choice (winner-jah pryzah) kutoka Zimbabwe
Huku ya moto band wakiugulia maumivu

7.Best male (winner-wizkid) na kumshinda diamond kutoka Tanzania

8.Best female (winner-yemi alade) na Vanessa mdee kutoka Tanzania akirudi mikono mitupu

Kumekuwa na maneno mengi kuhusiana na wa sanii wa Tanzania kukosa tuzo hizo huku moja ya sababu iliyopelekea kukosa tuzo ni

u team (team kiba vs wcb) kitu ambacho sio sahihi hata kidogo ambapo mwaka Jana diamond
Alichukua tuzo huku kukiwa na

campaign maalum iliyoongozwa na ma ex wake ili akose lakini alipata

Kwa mtazamo wangu hatukustahili kwa sababu tulikuwa na upinzani mkali na kutokufanya vizuri kwa wasanii wetu kimataifa.

Kama mdau wa bongo fleva unaona tuzo gani ilistahili kutuwa ardhi ya magufuli??
 
Uko sahihi kabisa.

ila nimefrahi tu Ali kiba hajapata tuzo yoyote ile
 
Uko sahihi kabisa.

ila nimefrahi tu Ali kiba hajapata tuzo yoyote ile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana!

na umehuzunika dai kukosa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana!

na umehuzunika dai kukosa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
eeh nimehuzunika pia sana asee japo ukweli umeelezwa hapo juu
 
eeh nimehuzunika pia sana asee japo ukweli umeelezwa hapo juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimefurahi sana walivyokosa wote
maana huyo dai angepata [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndimu sio za nchi hiii!!

wakose hvyo hvyoo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kumbe kuchambua muziki bila kumponda MOND unaweza,ila unafanyaga makusudi ......Basi kuanzia leo comment zako nitazisoma kwa adabu.
 
Ni kweli hatukustahili sana, katika category zote ulizoweka labda kidogo hapo kwa navy kenzo na yamoto band naona ndio hazina vigogo sana
 
Tekno hakutendewa haki alipaswa kuwekewa jabari lingine sio rayvanny
 
Are you not done with this yet..!!?
 
All in all tuwe wakweli hivi sasa Wasanii wetu wamekosa Identity kwani wanau-copy sana U-nigeria kuanzia Uimbaji, Uchezaji na mpaka Upigaji wa vyombo...na sasa umekuja mtindo wa video shooting za South Africa basi woote ni huko huko yaani watz na wanigeria ambapo wenzetu wako vizuri zaidi kueleweka kwayo, ikija kutamba Kwaito basi pia huamia kwenye hiyo kwa kila kitu
 
Kumbe kuchambua muziki bila kumponda MOND unaweza,ila unafanyaga makusudi ......Basi kuanzia leo comment zako nitazisoma kwa adabu.
Mi kwani huwa namponda mond mkuu
 
Ni kweli hatukustahili sana, katika category zote ulizoweka labda kidogo hapo kwa navy kenzo na yamoto band naona ndio hazina vigogo sana
Kweli kabisa mkuu maji yalikuwa marefu Sana mkuu kwenye hizo category
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…