pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Usiku wa jumamosi ya October 22, 2016 Johannesburg Afrika kusini ndio siku ambayo zilitolewa tuzo za MTV kwa wasanii waliofanya vizuri ila wasani wa Tanzania walikuwa katika category nane Kama ifuatavyo
1.Artist of the year (winner-wizkid) alimshinda diamond (Tanzania) kwa maoni hii hatukustahili wizkid alifanya vizuri kuliko diamond
2.Best new act (winner-tekno) akimpiku rayvanny kutoka Tanzania
Kumuweka tekno na rayvanny category moja ni sawa na azam kucheza Leicester city
3.Song of the year (my woman ya patoranking) walikuwa category moja na sauti Sol ft alikiba (unconditional bae ) niishie hapo bila maelezo
4.Best group (winner-sautisol) huku navy kenzo kutoka Tanzania wakiambulia patupu
5.Best collaboration (winner-DJ maphrosia ft wizkid ft DJ bucks -Soweto baby huku sautisol ft alikiba (unconditional bae) wakiula na chuya
6.listeners choice (winner-jah pryzah) kutoka Zimbabwe
Huku ya moto band wakiugulia maumivu
7.Best male (winner-wizkid) na kumshinda diamond kutoka Tanzania
8.Best female (winner-yemi alade) na Vanessa mdee kutoka Tanzania akirudi mikono mitupu
Kumekuwa na maneno mengi kuhusiana na wa sanii wa Tanzania kukosa tuzo hizo huku moja ya sababu iliyopelekea kukosa tuzo ni
u team (team kiba vs wcb) kitu ambacho sio sahihi hata kidogo ambapo mwaka Jana diamond
Alichukua tuzo huku kukiwa na
campaign maalum iliyoongozwa na ma ex wake ili akose lakini alipata
Kwa mtazamo wangu hatukustahili kwa sababu tulikuwa na upinzani mkali na kutokufanya vizuri kwa wasanii wetu kimataifa.
Kama mdau wa bongo fleva unaona tuzo gani ilistahili kutuwa ardhi ya magufuli??