Watanzania tuache unafiki hatukustahili tuzo hata moja MTV MAMA awards

Watanzania tuache unafiki hatukustahili tuzo hata moja MTV MAMA awards

All in all tuwe wakweli hivi sasa Wasanii wetu wamekosa Identity kwani wanau-copy sana U-nigeria kuanzia Uimbaji, Uchezaji na mpaka Upigaji wa vyombo...na sasa umekuja mtindo wa video shooting za South Africa basi woote ni huko huko yaani watz na wanigeria ambapo wenzetu wako vizuri zaidi kueleweka kwayo, ikija kutamba Kwaito basi pia huamia kwenye hiyo kwa kila kitu
Ah hapo labda yule mtoto wa tandale
 
Watzee tujifariji tu ila safari bado sana hata wakumkimbilia tu wizkid hajatokea, plus saa hivi yameanza masingeli hadi kero tutaramba mchanga hadi tukome!!
 
Hao wasanii wote wa Bongo walikuwa wako busy kupiga Push up majukwaani ili kuipigia kampeni CCM mwaka jana.
Watanzania wengi tumefurahia sana hao wasanii wetu kuangukia pua. Na bado, huo ni mwanzo tu.
 
Back
Top Bottom