Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah hapo labda yule mtoto wa tandaleAll in all tuwe wakweli hivi sasa Wasanii wetu wamekosa Identity kwani wanau-copy sana U-nigeria kuanzia Uimbaji, Uchezaji na mpaka Upigaji wa vyombo...na sasa umekuja mtindo wa video shooting za South Africa basi woote ni huko huko yaani watz na wanigeria ambapo wenzetu wako vizuri zaidi kueleweka kwayo, ikija kutamba Kwaito basi pia huamia kwenye hiyo kwa kila kitu