Watanzania tuache unafiki hatukustahili tuzo hata moja MTV MAMA awards

Ah hapo labda yule mtoto wa tandale
 
Watzee tujifariji tu ila safari bado sana hata wakumkimbilia tu wizkid hajatokea, plus saa hivi yameanza masingeli hadi kero tutaramba mchanga hadi tukome!!
 
Hao wasanii wote wa Bongo walikuwa wako busy kupiga Push up majukwaani ili kuipigia kampeni CCM mwaka jana.
Watanzania wengi tumefurahia sana hao wasanii wetu kuangukia pua. Na bado, huo ni mwanzo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…