Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

Wakati huohuo wengi wao hawana hata uhakika wa kupata mlo angalau mmoja kwa siku
Kwa hiyo wenye UHAKIKA na mlo mmoja wako tu UPINZANI?!!!

BINADAMU AMEUMBWA KUTAFUTA CHAKULA kabla ya PANDE LA ARDHI KUITWA NCHI....KABLA YA UJAJI WA VYAMA VYA SIASA.......
 
Bora kuchangia elf 12 tu kwa mwaka ili zisaidie kujenga shule kwa faida ya watoto wetu, zijenge hospital kwa faida ya afya zetu, zijenge barabara kwa ajili wa wakulima na wafanya biashara wa mjini na vijijini. Kuliko kukatwa milioni 1 kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitano afu hela zinakwenda kuliwa Dubai na mwenye chama.

Ha ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣

KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO........

Familia ya huyo BWANA wanakula "BATA" tu huku akina MDUDE NYAGALI NA PAMBALU wakisilubika KIZWAZWA+KIPOYOYO......

Akili ni nywele.....
 
Bado KODI ya KUZIKA INAKUJA ili kupata Eneo la kuchimba kaburi

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣

KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO........

Familia ya huyo BWANA wanakula "BATA" tu huku akina MDUDE NYAGALI NA PAMBALU wakisilubika KIZWAZWA+KIPOYOYO......

Akili ni nywele.....
Hii ndo inaitwa "dunia hadaa, walimwengu shujaa". Mdude na mwenzake Pambalo wamehadaiwa na shujaa wa siasa za uongo. Kwahiyo acha waendelee kula vumbi, huku familia ya mwenyekiti ikiendelea kula bata huko afrika ya kusini kwa mzee Mandela
 
Wapinzani walituchelewesha sanaaaa
 
Hii ndo inaitwa "dunia hadaa, walimwengu shujaa". Mdude na mwenzake Pambalo wamehadaiwa na shujaa wa siasa za uongo. Kwahiyo acha waendelee kula vumbi, huku familia ya mwenyekiti ikiendelea kula bata huko afrika ya kusini kwa mzee Mandela
Swadakta.....

Unamuona tu mtu alivyo hadaa waziwazi halafu UNAHADAIKA kwa "UNDWANYWE NA UHOBO WAKO"....hapo kweli tunasema DUNIA HADAA ULIMWENGU SHUJAA.....

Waache tu wenzao wale "bata" huko kwa mzee MADIBA......
 
Nawasikitikia sana wale waliokubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao dah...
 
Mkuu Uzi huu unakasoro rekebisha! Maanake tozo zipo nyingi mfano: kodi ya majengo kwenye luku, tozo ya miamala kweye simu kuongezeka kwa bei ya gesi na mafuta ya kupikia na kadhalika.
Kwa hivyo wewe uSema: umezaa utawala mpya umezaa matozo.
 
Kama unapenda wafu, nenda kazikwe naye. Tumekwisha msahau huyo. Ameoza sasa. Naona kila ukiposti unam miss hayati!! Get used to it. Hatorudi kamwe dikteta. Tujadili ya sasa na yajayo. Love it, hate it.
 
Mkuu Uzi huu unakasoro rekebisha! Maanake tozo zipo nyingi mfano: kodi ya majengo kwenye luku, tozo ya miamala kweye simu kuongezeka kwa bei ya gesi na mafuta ya kupikia na kadhalika.
Kwa hivyo wewe uSema: umezaa utawala mpya umezaa matozo.
Mkuu kwa hayo uliyo yaongeza tayari ushauboresha uzi
 
Hii ndo inaitwa "dunia hadaa, walimwengu shujaa". Mdude na mwenzake Pambalo wamehadaiwa na shujaa wa siasa za uongo. Kwahiyo acha waendelee kula vumbi, huku familia ya mwenyekiti ikiendelea kula bata huko afrika ya kusini kwa mzee Mandela
Afadhali kunguni anatumia sana akili kuliko wewe
 
Mkuuu, wakati mwingine ni bora tupitie haya ili zile propaganda za kijima kua "wapinzani wanatuchelewesha" zisipate nafasi.
Mungu ana siri kubwa mkuu
 
Afadhali kunguni anatumia sana akili kuliko wewe

Afadhali kunguni anatumia sana akili kuliko wewe
Leo ni tar 21/08/2021 sio 01/01/1999 mdogo wang. Ogopa sana watanzania wa miaka hii. Maana wengi wanaufahamu mkubwa wa mambo ya siasa na maendeleo ya nchi yao ukilinganisha na wale wa enzi zile miaka ya 1999
 
Leo ni tar 21/08/2021 sio 01/01/1999 mdogo wang. Ogopa sana watanzania wa miaka hii. Maana wengi wanaufahamu mkubwa wa mambo ya siasa na maendeleo ya nchi yao ukilinganisha na wale wa enzi zile miaka ya 1999. So mbadili mbinu na sera za kuwashawishi watu wenye akili, sio kuja kutapika ujinga hapa utafikiri hili ni jukwaa la watoto wa darasa la kwanza.
Afadhali kunguni anatumia sana akili kuliko wewe
 
Leo ni tar 21/08/2021 sio 01/01/1999 mdogo wang. Ogopa sana watanzania wa miaka hii. Maana wengi wanaufahamu mkubwa wa mambo ya siasa na maendeleo ya nchi yao ukilinganisha na wale wa enzi zile miaka ya 199
Wengi wana ufahamu mkubwa sana isipokuwa wewe ambaye bado unatetea ujinga wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…