Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwa hiyo wenye UHAKIKA na mlo mmoja wako tu UPINZANI?!!!Wakati huohuo wengi wao hawana hata uhakika wa kupata mlo angalau mmoja kwa siku
BINADAMU AMEUMBWA KUTAFUTA CHAKULA kabla ya PANDE LA ARDHI KUITWA NCHI....KABLA YA UJAJI WA VYAMA VYA SIASA.......