Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ukweli ni kwamba tulikuwa hakuna kitu kinatuleta pamoja kama nchi ndo maana hata maandamano yalikuwa haiwezekani.sasa wametuunganisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limezaa wizi mkuu,Wala sio tozo tenaWatanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho.
Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri.
Hakuna waziri anayejali wala kusikiliza kilio cha tozo gandamizi za miamala na sasa tozo za majengo kupitia huduma za umeme.
Hatuna mwakilishi pale bungeni tukubali kuwa wote waliopo pale ni wana CCM tu na wapo pale kutetea maamuzi yoyote ya kutoka CCM.
View attachment 1901401
Hata wale watu wa iraq na Afghanistan hawakuzaliwa na chuki kama ile ila ni kutoka kwa watawalaUkweli ni kwamba tulikuwa hakuna kitu kinatuleta pamoja kama nchi ndo maana hata maandamano yalikuwa haiwezekani.sasa wametuunganisha
Crimea yupo hapa Mwanza anakesha anazunguka kwenye mabaa kujifanya kada mtiifu wa ccm na kuwakamua wakuu wa idara za serikali.Wenye nyumba Crimea na johnthebaptist
Mwigulu hana huruma kabisa kwa watanzaniaYaani Serikali ya huyu mama wa viti maalum imeamua kutupora hela Watanzania, mfano kodi ya majengo ya mwaka wa fedha 2021/22 tulikwishalipa kabla ya July mosi 2021 lakini leo tunaambiwa tulipie kodi ya mwaka mwingine upya, huu si ni wizi na uporaji? Wanasheria hebu litazameni suala hili kwa jicho pana zaidi ili mfungue kesi Mahakamani kupinga unyanganyi huu wa Serikali. Wameshindwa kubuni vyanzo stahiki vya mapato wameamua kutupora kwa nguvu pesa zetu kupitia Huduma ambazo hatuwezi kuzikwepa
Hakuna la maana anafanyaKabisa inabidi tumpinge huyu Bibi Tozo sasa anaharibu nchi yetu kwa tozo.
Tuvumilie mkuuWanajali matumbo yao tu
Hakuna mtu yeyote yule anaye zoea mateso
Au naongooopa?Mwenda zake katuachia msala mzito kweli kweliView attachment 1902801