Watanzania Tuanze Kujilinda na Watu Wasiojulikana

Watanzania Tuanze Kujilinda na Watu Wasiojulikana

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Majumbani kwetu tuwe na sime, panga, rungu na mbao zilizopigiliwa misumari(kutega kwenye tairi pindi gari la wasiojulikana linapoanza kuondoka likanyage tairi litoboke).

Tujitahidi kwenye makazi yetu tuanze kufunga CCTV Camera.

Kwa wale ambao hatuna uwezo wa kumiliki bastola basi tutembee na Sime ama kisu kwa ajili ya kujilinda na pia kuwaokoa wenzetu wanapokuwa wanakamatwa na watu wasiojulikana.

IWE NDIO TAMADUNI YA MAISHA YETU KUANZIA SASA.

Kwa matukio yaliyotoke na yanayo endelea kutokea Serikali ya CCM imeshindwa kuwalinda wananchi wake

GOD BLESS TANGANYIKA

IMG-20241113-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom