MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Siamini katika kutumia nguvu ili kumfundisha mtu.Lakini wanaofanya makosa hayo,hasa katika kuandika,wanatakiwa kukamatwa,kufungwa kamba na kutandikwa fimbo nyingi hadharani hadi mpigaji achoke.Awezi/Hawezi
Atari/Hatari
Alusi/Harusi
Imehairishwa/imeahirishwa
L na R nazo huko ndio kuna hasara kubwa sana.
Hadi kwenye kuongea?Udekaji umezidi.ππππTatizo hili ila serikaLi yetu haijaliangalia hili swala kwa umAkini
Vyuo vikuu vya Norway na Canada waalimu was Kiswahili wengi ni wakenya.Hakuna jambo linaloniudhi kama kumsikia Mtanzania anaongea kwa lafudhi na maneno mabovu ya kiswahili cha Kenya.
Yaani inauma sana. Urithi wetu wanafaidi WakenyaAwezi/Hawezi
Atari/Hatari
Alusi/Harusi
Imehairishwa/imeahirishwa
L na R nazo huko ndio kuna hasara kubwa sana.
Wanapoenda kufundisha,wanafundisha ufasaha wa lugha.Hawapeleki sheng za mitaani.Vyuo vikuu vya Norway na Canada waalimu was Kiswahili wengi ni wakenya.
Uganda sasa hivi somo LA kiswahili ni lazima ila shule zinalalamika hazina waalimu.
Tafuta mzanzibari au MTU was Lamu Kenya usikie Kiswahili fasaha.
Kweli mkuu? Ile English yetu ya form four ya Chinua Achebe na Things Fall Apart haiwezi kumfundishia MTU lugha mama?Hiyo sio sababu. Sababu ni kwamba watanzania hawajui English. Unapotaka kumfundisha mtu lugha asiyoifahamu inabidi kuwe na lugha ya kumfundisha huyu mtu. Hapa ndipo English inapoingia na ndio hapa hawa jamaa wa π°πͺ wanapotupiga bao
Ramaphosa katoa fursa kule South somo LA kiswahili lifundishwe ila balozi wetu kule MEJA JENERALI MILANZI anashangaa tu!Tunawalimu wazuri you wa kiswahili nahisi balozi zetu hazifanyi kazi sawa sawa kihakikisha Hilo ma pia watu wetu hawana Ile shauku ya kutafuta fursa zaidi nje ukiongezea na serikali yeti kukwamisha Kila kitu
Na exposure vile vile. Wakenya hadi wanaotoka vijijini utawakuta wametapakaa nchi mbalimbali duniani to tofauti na wabongo ambapo ukimkuta nchi za mbali basi atakuwa ametoka kwenye miji mikubwa. Halafu kumbuka mtu anakwenda kufundisha University sio vichocholoni hivyo hiyo English yake lazima iwe imenyooka kuanzia kwenye interviewKweli mkuu? Ile English yetu ya form four ya Chinua Achebe na Things Fall Apart haiwezi kumfundishia MTU lugha mama?
Lazma mama atudekeze kidoGoπHadi kwenye kuongea?Udekaji umezidi.ππππ
Ndio tatizo hilo yaani mabalozi wengi hawajui kazi zao wanapelekwa tuRamaphosa katoa fursa kule South somo LA kiswahili lifundishwe ila balozi wetu kule MEJA JENERALI MILANZI anashangaa tu!