Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Unakuta mtu anakomaa afungue biashara peke yake matokeo yake anaishia kusajili kampuni ama anafungua biashara kwa kutumia gharama kubwa mno ambayo wengi wao wanakuja kupoteza investment zao kwasababu katika kuanzisha biashara huwa hakuna kujiamini moja kwa moja kama ulichoanzisha kitafanikiwa. Mwisho wa siku wengi wetu tumekuwa tukiunguza pesa nyingi sana kuanzisha mambo ambayo yanakuja kufeli.
Kwanini labda kama mtu una idea nzuri ya biashara usitafute wenzako kama kumi mkachanga mtaji wa hata milioni kumi (moja kila mtu) halafu mkafanya planning ya kutekeleza hilo wazo?
Faida ya kufungua biashara ama kampuni mkiwa wengi ni kwamba
Huko nchi za wenzetu aina hii ya ufanyaji wa biashara ama ufunguaji wa makampuni ndio imeshamiri huko na ndio mfumo wa maisha.
Imagine kwa mfano, mimi kuna classmate wangu wa form 6 juzi nilikutana naye. Yeye amekuwa ni mjasiriamali wa kutengeneza hizi mambo za culture culture. Ila kwa kumuangalia kwa haraka haraka, yeye inaonyesha hana mtaji wa kutosha.
So hapo mimi nikaona fursa kwamba naweza kumuita nikaongea naye halafu nikampa hata wazo la kupanua biashara yake kwa mimi kumuongezea mtaji wa lets say milioni 5, ambayo najua kabisa hiyo milioni tano yangu anaweza kutafuta mahali kwenye biashara akalipia kodi na ikampa capacity ya kuweza kuzalisha zaidi na kuongeza faida ya biashara yake.
Ama kama alikuwa na ofisi moja au duka unampa capacity ya kuanzisha duka la pili kwenye sehemu yenye mzunguko ambayo unajua kabisa kutakuwa a potential.
So hapo nikawa nafikiria, kuliko mimi mwenyewe nimpe hiyo milioni tano ni kwanini nisipate wadau kama 20 tukakusanya hata laki mbili na nusu kila mmoja (250K x 20 = 5 Million) halafu akatupa 60% kama mmoja wa wamiliki wa biashara ambayo baadae itakuja kutunufaisha kwenye gawio?
Imagine mwaka wa kwanza biashara ikareport profit ya kama Tzs 2 Million hapo ina maana kama investors tukichukua 60% yetu hiyo ni kama Tzs 1.2 Million ambayo tukiigawanya kwa investors wote 20 ni kama kila mtu atakuwa amepata dividend ya Tzs 60,000 ambayo ni sawa na 24% return kutoka kwenye uwekezaji wake wa Tzs 250,000.
Umeona how lucrative is? (24% returns per year) Na huu ni mfano namna hivi vitu vinavyofanya kazi.
Kama kuna mtu kanielewa ni kwamba tunaweza tukafanya namna tukatengeneza kikundi cha watu wachache ambao tutakuwa kama wawekezaji wa pamoja kwenye biashara hizi ndogo ndogo ama ideas ambazo mmoja wetu anaweza kuja nazo.
Then kwa sababu tunaweza kuwa watu wenye profession zetu tutakuwa tunaangalia biashara ama wazo kwa angle nzuri ambayo itahakikisha kila wazo linalowezeshwa ni lile lenye potential ya kufanikiwa. Ama kutafuta biashara ndogo yenye potential ya kukua huko mbeleni.
Hii ndo namna biashara inavyofanyika kwenye karne ya 21.
Kama tupo on the same page embu comment chochote.

- Inapunguza risk ya kuchoma mahela yako mengi kwa ajili ya wazo la biashara ambalo halijazaa matunda bado. Imagine uchungu wa kupoteza milioni 10 wewe mwenyewe na ule uchungu wa kupoteza milioni 1 ikiwa mlikuwa kikundi?
- Mnapokuwa wengi inaongeza urahisi wa kufanikiwa kwenye jambo kwa maana kwenye watu kumi mtakuwa ni wetu wenye profession tofauti tofauti ambayo ni faida sana kwa biashara inayoanza kwa sababu inarahisisha kufanikiwa kwa mipango ya kibiashara inayopangwa.