Watanzania tubadilishe fikra za kufanya biashara

Mlifungua kabiasa kampuni kisheria au mlifanya kikundi koko tu kwa kuaminiana ?
Ilikua Co. Lkn mwisho wa siku urafiki/undugu wetu ulivurugika.

Naona mzee baba hua unaongelea sana suala la kufungua/kumiliki Co. utadhani ni big deal /kitu cha ajabu sana/rocket science,jambo dogo sana hilo.

Nenda kawaulize wakandarasi wazalendo zaidi ya 10 na ushee waliojiunga na ku-form JV waliopewa tenda ya kutengeneza daraja la mbutu kawaulize nini kilitokea na kama bado wana hamu ya kufanya JV tena.

Wabongo waone hivyo kutana nao salimiana nao then chala lapa masuala ya JV/Partnership mtakuja vunja undugu
 
Huo siyo ujasiriamali.

Unaunda kampuni halafu CCM ndo wakupe tenda upate kazi

Huo wanaita TenderPreneur Business people.

Yes, Co. ni big Deal

Hawajui thamani yake ndio maana ukiongea wanakuona hueleweki.

Wabongo ni watu wa cheap quick schemes na cheap, mwaMBIE WEKEZA SASA KESHO UNAVUNA MILIONI 500.

Hata kama ni uongo utaeleweka saaana
 
Nadhani definition ya ujasiriamali kwako ni kudunduliza dunduliza huku na huku.

Mkuu we sema tu hayo majina sijui ya Tende prenuer b'ness people wkt kule Mbutu watu walikunja mabilioni mfukoni na bado wanakunja mabillion mpk sasa shida tu ni kufanya JV,hio ndio impossible.

Co. isn't a big deal ndio maana kuna mamia ya ma-co ya mfukoni tena vijana wengi tu wavivu wavivu siku hizi wanaanza kwa kufungua Co. Kisha ndo wanaanza kuhangaika ku-raise capital,ukiwa bongo u should play by our rules(To think globally and act locally) that's the way la sivyo utaona watu wanajiita tu ma-ceo wa Co. Zao za mfukoni.
 
Basi sawa co. siyo big deal.

Ngoja Tukae tu.

Tuendelee kusindikiza wahindi.
 
Upo sahihi mkuu
Comment tatu tu.. Tayar watu washaanza kuwa negative instead ya kuwa na solution to every challenge wameshakuja na challenge to every solution.

Huwez kufanikiwa kwa mindset ya namna hii ya kutanguliza kuona matatizo badala ya fursa
 
Wazo nzuri ila Watu wengi wamejaa kuwaza hasi kichwani mwao....kushindwa kwa ubia wenu wa kwanza isiwe sababu ya ubia utakaokuja kuundwa nao kushindwa...na tusipende kusema mambo kiujumla eti watz wengi hawawez kufanya biashara za ubia,eti hawaaminiki,..la hasha...Nina ushahidi mwingi tu vijana tena wamekutana mitandaoni tu km hivi...wakaundwa kampuni ya kilimo miaka 5 imepita..na bado wanazidi kupiga pesa, kuna vijana wengine wameweka ushirikiano wa kujengeana nyumba kila mmoja kupitia mishahara yao...waliweka makubaliano yao kwenye maandishi...wamefanikiwa kila mtu kujengeana Nyumba nzuri kwa awamu...(yaan miaka mitatu tunajenga nyumba ya japhet,miaka mitatu mingine nyumba ya Joshua....na limewezekana...sio ndg wala nini...ni marafiki tu wenye the same interest ya mafanikio,.pia vijana wengine wanafanya ufugaji wa nguruwe miaka mitatu sijasikia hiyo migogoro.,,kuna jamaa zangu wana saccos yao wanaume tupe...imedumu miaka mingi tu...sasa hivi wana benk hapa mjini,Mimi mwenyewe mwaka wa tano huu wafanyakazi wenzangu wanawekeza pesa zao kwangu mi nazalisha kupitia biashara zangu nawapa faida 7% ya pesa aliyoweka kwa mwezi,kila baada ya miez mitatu nawapa faida yao,hakuna malalamiko yeyote,(ina maana nao ni ubia pia ingawa wao hawaingia kwenye mchakato wa kuizalisha ile pesa na kujua imeleta faida kias gani) wanaridhika..Kwa hyo kufanya biashara za ubia na kufanikiwa inawezekana...sema upate watu sahihi,wenye kiu na mafanikio kweli...sio hawa watoto wa chips mayai eti ameshiba...hata kwenye mafanikio account ikianza kusoma 5 millions anaona kafanikiwa...anaanza mawenge...VIJANA WAPO WANAOFANYA UBIA NA WANAFANIKIWA.. NA NDO MFUMO WA BIASHARA WA KARNE YA 21....tofauti na hapo komaa mwenyewe na familia yako basi...maana sio lazima utafute watu wa nje na familia yako...chukua hata Mjomba,kaka,shangaz,mama,baba,...n.k labda hao utawaamini zaidi.
Tusijifanye kila kitu tunakijua eti tulishajaribu...hailipi sijui ...tulikosana na nani kisa ubia...yaweza kuwa mikakati,makubaliano,na uendeshaji wenu haukua mzuri...VIJANA WATANZANIA TUAMKE ,TUHAMASISHANE KUHUSU MAFANIKIO,TUSIWE WAPESI WA KUKATISHANA TAMAA....DUNIANI HAPA KILA JAMBO LINAWEZEKANA....NI SWALA LA MUDA TU. leo tunatumia % kubwa ni bidhaa za China...fatilia wamiliki wa hizo kampuni...nyingi utakuta zinamilikiwa na watu zaidi ya 5,10,nakuendelea... ,
"The different between ordinary and extra ordinary is that little extra" zig zaglar.
 
Inawezekana una poinr nzuri sana, lakini jifunze kuweka paragraphs, kwa sasa ni vigumu kusoma post yako.
 
Umeandika bila mpangilio nimeshindwa kusoma
 
Ilikua Co. Lkn mwisho wa siku urafiki/undugu wetu ulivurugika.

Naona mzee baba hua unaongelea sana suala la kufungua/kumiliki Co. utadhani ni big deal /kitu cha ajabu sana/rocket science,jambo dogo sana hilo.

Nenda kawaulize wakandarasi wazalendo zaidi ya 10 na ushee waliojiunga na ku-form JV waliopewa tenda ya kutengeneza daraja la mbutu kawaulize nini kilitokea na kama bado wana hamu ya kufanya JV tena.

Wabongo waone hivyo kutana nao salimiana nao then chala lapa masuala ya JV/Partnership mtakuja vunja undugu
Limenitokea hili wabongo hapana
 
Watu tuna first hand experience ya anachokipropose mleta uzi. Mimi binafsi nimeshakata tamaa ya kushirikiana na wengine kwenye biashara, baada ya kupoteza capital si chini ya mara 5. Nilichojifunza ni kuwa usimuamini mwingine na pesa yako, siyo ndugu, siyo mlokole, siyo kwa mikataba ya sharia.......siyo whomsoever and whatever. Faida ikianza kuonekana sababu za kutostick na makubaliano huanza. Akijitahidi sana utapewa gawio la kwanza na la pili. Kama hujawahi karibu, tusikukatishe tamaa, jaribu halafu utuletee mrejesho.
 
Labda wakipata experience kama zenu ndio wanaweza kuelewa hali halisi ikoje.
 
Back
Top Bottom