Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

BUFA pamoja na kuishi kote nje, sikufahamu kama wewe ni mweupe hivi. Mlimani City ni mradi wa mzee Mkapa na siyo Kikwete. Sasa sifahamu hayo makelele dhidi ya Kikwete uliyasikia lini mwenzangu. Umenishangaza sanaa...

Mwisho, huna ufahamu kuhusu uwekezaji na uendeshwaji wa benki. Ungefahamu walau kidogo basi tusingekuwa tunapishana hapa hata kidogo. Ungefahamu basi lazima usingepitwa na ukweli muhimu kwamba wageni walizikuta hizi benki zina wateja na mali zikiwa chini ya usimamizi wa B.O.T, shida kubwa ilikuwa ni CREDIT CRISIS na INSOLVENCY , wao ndiyo wakatia mtaji.

Walichokifanya wageni kwa NMB na NBC, hakina tofauti ni kile ambacho First Citizens Bank imekifanya kwa Silicon Valley Bank. Tena walau hata sisi tulikuwa na uafadhali....
 
Hivi baada ya miaka mitano hadi kumi, kitufe cha edit kitakuwepo?
 
Kuendeshwa na wamarekani doesn't mean kuwa DPworld siyo ya waarabu. Wamarekani waendeshaji ni waajiriwa tu. Wamiliki ni waarabu. That's it
Kwani ikiwa ni ya waarabu kuna kosa.Huu ujinga na ubaguzi wa kidini hautawasaidia chochote. Hoja imekuwa waarabu na sio mkataba.
 

Mimi kutokukumbuka nani alikua in power wakati wa ujenzi wa mcity hakubatilishi context yake. Nimesema Mkapa/JK sikumbuki with certainty nani alikua rais ila uhalisia ni kwamba kelele zilikua nyingi mlisema Rais anauza nchi whoever that was. Wewe nitpicking jina la Rais badala ya context ni ujinga.

Wakati Mkapa anabinafsisha hizo banks mlisema anauza nchi as well ila leo ndo banks kubwa nchini.

Sababu yeyote ile iliyofanya hizo banks zi underperform zilirekebishika baada ya wageni kuingia. Sihitaji kujua technicalities za nini kilisababisha ila najua zilipo.

Kimsingi changamoto kubwa ya hii bandari ku underperform ni ukata wa mtaji kama hizo banks tu. Nani mwenye ukwasi wa Trillion of shillings wa ku-overhaul bandari hapa nchini? Kama yupo mlikuwa wapi kumfuata hadi DPW walipokuja? Kama wenyewe mnaweza mnasubiri nini kuendesha bandari kwa ufanisi?

Wewe unapinga bandari kuendeshwa na wageni kisa tu ni wageni mimi nasema huo ni ujinga maana nyie mmeendesha for ages bila tija yeyote. Mimi I fully support ubinafsishaji wa chochote kile ila mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Mkataba ni makubaliano ila siwezi kuogopa wageni. Serikali haiwezi kuendesha kila kitu tena serikali ya bongo yenye urasimu wa hali ya juu.

Endelea kupinga you're entitled to your opinion.
 
Ndugu mwananchi.
Kaa kwa kutulia.
'Kaa mkao wa kula'.
Kuna badhi ya vigogo tutawatema by 2025!
Mkeka utatoka mwezi wa nane 2023.
Kwa sasa msinung'unike. Kaeni 'mkao wa kula'.
 
DP World inashirikiana na CDC Group kuunda jukwaa la uwekezaji la Afrika
 
Hukushiba kwenye sahani hata kwenye karai hutashiba.

Mungu atahukumu Mwenyewe.
 

Mimi nakwambia wapo Peru, ushahidi huu hapa:

today we are the largest container terminal in Peru. Due to an investment of more than 1 Billion dollars,

Kwanini mnapenda kusema uongo? .
 
Kwani ikiwa ni ya waarabu kuna kosa.Huu ujinga na ubaguzi wa kidini hautawasaidia chochote. Hoja imekuwa waarabu na sio mkataba.
Nani ametaja mambo ya Dini hapo?! Udini umekujaa kiasi cha kuwa na kiwewe.
 
Nani ametaja mambo ya Dini hapo?! Udini umekujaa kiasi cha kuwa na kiwewe.
Ni kipofu wa kujifanya au hujui kusoma?Imeandikwa hapa hapa tena kwa uwazi mkubwa.Soma uelewe.
 
Nafukuwa makaburi.


Raundi ya kwanzza mama Samia 1 Tec 0

Sasa wakumbushe TEC basi wazuwie mkataba usifanye kazi.
 
Nafukuwa makaburi.


Raundi ya kwanzza mama Samia 1 Tec 0

Sasa wakumbushe TEC basi wazuwie mkataba usifanye kazi.

Mbona husemei hayo mabadiliko ya vipengele kuwa ni ya HGA na sio tena IGA?

Mlitaka limkataba liende ende tu. Na bado tuupate mkataba upya tena tujue yote ikiwa ni pamoja na competent parties to contract.
 
Waarab wana roho mbaya na hawaoni aibu kufanya hivyo.
Watakaostawi na mkataba huu ni waislam pekee,na misaada itapitia misikitini.Wengine ni wadada warembo.Watageuzwa kama chapati na kuhongwa used vitz.


Ukiacha dini yao,wao hata kama angekuwa na dini gani wana asili ya roho mbaya tu.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mbona husemei hayo mabadiliko ya vipengele kuwa ni ya HGA na sio tena IGA?

Mlitaka limkataba liende ende tu. Na bado tuupate mkataba upya tena tujue yote ikiwa ni pamoja na competent parties to contract.
Sasa mbona mdude bado anasisitiza maandamano tarehe 9 November anasema bandari imeuzwa huyu jamaa ni kichaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…