The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Wa kwetu uliosambaa online sio wenyewe...Kule kwa wazungu mikataba yao haijakaa kijinga kama huu wa kwetu.
Naunga mkono Do World kama mkataba uko sawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwetu uliosambaa online sio wenyewe...Kule kwa wazungu mikataba yao haijakaa kijinga kama huu wa kwetu.
Tupe mrejesho wa fursa za gas ya mtwara. Wakati ule tuliokuwa tunajua ni utapeli mlikuwa mnamwaga sifa za fursa hivi hivi. Leo hii yako wapi?Mimi nimeshawapata CDC Group na wameshanambia Jumatatu kuna maafisa wao watawasiliana nami.
Kalaga baho.
Sio mwenyewe wakati ndio ulikuwa unatolewa ufafanuzi leo…..?Wa kwetu uliosambaa online sio wenyewe...
Naunga mkono Do World kama mkataba uko sawa...
Manchester city, psg zinamilikiwa na waarbu manchester united nayo waarabu wanataka kuinunua. Kwa taarifa yako makampuni mengi makubwa ulaya wanahisa wakubwa ni waarabuDP World ni mtoto wa Dubai World ambalo ni mali ya waarabu wa dubai. Chanzo cha kufanya DP World iendeshwe na Wamarekani ni kwasababu bunge la Marekani halikuwataka waarabu waendeshe bandari za kimarekani na kuitia unajisi nchi yao, kitu ambacho sisi Tanganyika tumekiruhusu. Wamarekani walikubali DP World lifanye kazi nchini kwao kwa masharti ya kuendeshwa kupitia kampuni la Wamarekani liitwalo Ports America.
Huku kwetu watakuja kuendesha waarabu wenyewe, jambo ambalo ni hatari mno kwa usalama wa Tanganyika. Waarabu ni watu wa hovyo mno, utawatetea tu kwasababu za kidini, ila ni watu wa hovyo kwelikweli.
Baada ya miaka mitatu mpaka mitano tutajua Kati ya wewe na huyu uliyemjibu nani alienda shule kusomea ujinga.Mwakan3021 walikuwepi huko upipopaona, wapo mpaka leo, na sasa 2023 wapo kwetu, tutazame huko walipokuwepo zamani tujifunze fursa zilizopo.
Hata elimu uliyosomea wewe ilianza siku hiyo hiyo uliyo enda wewe kusoma?
Au ndiyo walewale? Uliyeenda shu, le kusomea ujinga?
Wapo wenye uelewa wataisoma hiyo article wataielewa na wataziona fursa.
Wewe wachana nayo kama kwako ni ya zamani. Upo huru.
Manchester City, PSG na Manchester United siyo mashirika ya ummah bali vilabu vya mpira.Manchester city, psg zinamilikiwa na waarbu manchester united nayo waarabu wanataka kuinunua. Kwa taarifa yako makampuni mengi makubwa ulaya wanahisa wakubwa ni waarabu
Ni kweli na ni kwasababu ya mafuta waliyokuwa nayo ila wazungu watakapokuja kufanikiwa kuondokana na matumizi ya mafuta 2035 kama wanavyosema basi itakuwa mwisho wa utajiri wa waarabu.Manchester city, psg zinamilikiwa na waarbu manchester united nayo waarabu wanataka kuinunua. Kwa taarifa yako makampuni mengi makubwa ulaya wanahisa wakubwa ni waarabu
Naomba sana atokee mtu kama muendazake, pachafuke kama miaka 5 mingineBahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world
Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua
Britanicca
Bro tusubiri 3 to 5 years to come, Hawa ndugu za waarabu watakimbia if hili wazo halitoenda perfectly kama walivyoplan.Manchester City, PSG na Manchester United siyo mashirika ya ummah bali vilabu vya mpira.
Ukweli ni kwamba tunahitaji a new constitution.Naomba sana atokee mtu kama muendazake, pachafuke kama miaka 5 mingine
Hakika, hakika....!Bro tusubiri 3 to 5 years to come, Hawa ndugu za waarabu watakimbia if hili wazo halitoenda perfectly kama walivyoplan.
Muda ni hakimu mzuri baada ya Mungu.
KabisaUkweli ni kwamba tunahitaji a new constitution.
Nakuheshimu sana wewe bibi, lakini nakuona unazeeka vibaya.Nimeona niwafunulie kwa uchache fursa nyingi sana kwa kila kada ambazo zitakuwepo kwa ujio wa DP World.
Tafadhali kwanza someni wanayoyafanya sasa hivi DP World kwa nchi zingine za Afrika:
DP World inashirikiana na CDC Group kuunda jukwaa la uwekezaji la Afrika
Dubai, Falme za Kiarabu,
12
Oktoba
2021
"
![]()
Sultan Ahmed Bin Sulayem, Mwenyekiti wa Kikundi na Mkurugenzi Mtendaji wa DP World
"
DP World imetangaza kuundwa kwa jukwaa la uwekezaji kwa ushirikiano na taasisi ya fedha ya maendeleo ya Uingereza na mwekezaji wa athari CDC Group (CDC).
Jukwaa jipya la kuwekeza katika bandari na vifaa kote Afrika
Hapo awali inajumuisha uwekezaji katika mali ya DP World ya Senegal, Misri na Somaliland
Jukwaa linashughulikia kipindi cha uwekezaji wa muda mrefu. DP World inachangia hisa zake katika bandari tatu zilizopo hapo awali na inatarajia kuwekeza dola bilioni 1 zaidi kupitia jukwaa kwa miaka kadhaa ijayo. CDC inajitolea takriban $320 milioni mwanzoni na inatarajia kuwekeza hadi $400 milioni zaidi katika miaka kadhaa ijayo.
Muamala unategemea idhini fulani za mwisho za udhibiti.
Jukwaa hilo litawekeza katika bandari asilia na fikio, bohari za kontena za bara, kanda za kiuchumi na vifaa vingine kote barani Afrika ili kuongeza biashara, kuunda nafasi mpya za kazi na kupanua ufikiaji wa bidhaa muhimu. Hapo awali itawekwa na hisa chache katika mali zilizopo za DP World na mipango muhimu ya upanuzi wa uwezo, ikiwa ni pamoja na Dakar (Senegal), Sokhna (Misri) na Berbera (Somaliland). Biashara inayowezeshwa kupitia upanuzi unaoendelea inatarajiwa kuunda nafasi za ziada za ajira 138,000 katika uchumi mpana. Kufikia 2035, bandari zinatarajiwa kusaidia ajira thabiti kwa karibu watu milioni 5 kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
DP World ina zaidi ya miaka 20 ya tajriba ya kuendeleza na kuendesha bandari na miundombinu na kutoa masuluhisho ya vifaa barani Afrika na kimataifa. Muamala huu unawiana na mkakati wa DP World wa kushirikiana na mashirika ambayo hutoa utaalam wa ziada na kuwa na maono ya pamoja ya kuwezesha biashara na kuendesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
CDC ni taasisi ya fedha ya maendeleo ya Uingereza na mwekezaji mwenye athari na uzoefu wa zaidi ya miaka 70 kusaidia ukuaji endelevu wa muda mrefu wa biashara barani Afrika na Asia Kusini. CDC inamilikiwa na Serikali ya Uingereza na ina malengo mawili ya kuleta matokeo ya maendeleo kwa kusaidia ukuaji wa biashara ambao huwaondoa watu kutoka kwa umaskini na kuleta faida ya kifedha.
Sultan Ahmed bin Sulayem, Mwenyekiti wa Kikundi na Mkurugenzi Mtendaji wa DP World, alisema: "Tunafuraha kutangaza ushirikiano na CDC Group ambao utawezesha kuongezeka kwa uwekezaji katika miundombinu ya bandari na usafirishaji barani Afrika, kusukuma ufanisi na ukuaji wa biashara. Ushirikiano huo utaleta mageuzi. fursa kwa makumi ya mamilioni ya watu katika muongo ujao.
"Katika CDC, tumepata mshirika ambaye tunashiriki lengo moja la kuwekeza katika muda mrefu na kusaidia kujenga miundombinu inayowajibika na endelevu katika Afrika, ambayo ni muhimu kwa kufungua uwezo wa kibiashara wa bara.
"DP World imejitolea kwa Afrika kwa muda mrefu na inaona fursa kubwa ya ukuaji wa siku zijazo katika bara zima. Ushirikiano na CDC unatoa unyumbufu wa kuharakisha na kutumia fursa hizi.
"Kwa kuchanganya ujuzi wetu wa kina wa bandari na vifaa na utaalamu wa CDC katika uwekezaji wa miundombinu barani Afrika, tunaweza kuendesha ufanisi mkubwa wa ugavi, kutoa muunganisho ulioboreshwa wa kibiashara na hatimaye kuongeza thamani kwa wadau wote."
Nick O'Donohoe, Afisa Mkuu Mtendaji, CDC, aliongeza: "Uchumi thabiti na unaostawi umejengwa juu ya upatikanaji wa uhakika wa biashara ya kimataifa na ndani ya bara. Uwezo kamili wa Afrika ni mdogo na bandari duni na vikwazo vya biashara, na kuweka breki katika ukuaji wa uchumi. baadhi ya uchumi unaokua kwa kasi duniani na kudhoofisha ustahimilivu wa kijamii katika sehemu zenye maendeleo duni zaidi duniani.Jukwaa hili litasaidia wafanyabiashara na wafanyabiashara kuharakisha ukuaji kwa upatikanaji wa njia za biashara zinazotegemewa, na litasaidia watumiaji wa Kiafrika kufaidika na kuegemea kuboreshwa na kupungua. gharama ya bidhaa muhimu na chakula kikuu.
"Tunajivunia kuunga mkono DP World kufanya hata zaidi barani Afrika, na kuorodhesha kozi yenye nguvu zaidi kwa biashara ya Afrika kote ulimwenguni."
Kuhusu DP World
We are the leading provider of worldwide smart end-to-end supply chain logistics, enabling the flow of trade across the globe. Our comprehensive range of products and services covers every link of the integrated supply chain – from maritime and inland terminals to marine services and industrial parks as well as technology-driven customer solutions.
We deliver these services through an interconnected global network of 129 business units in 55 countries across six continents, with a significant presence both in high-growth and mature markets. Wherever we operate, we integrate sustainability and responsible corporate citizenship into our activities, striving for a positive contribution to the economies and communities where we live and work.
Our dedicated, diverse and professional team of more than 55,000 employees from 134 countries are committed to delivering unrivalled value to our customers and partners. We do this by focussing on mutually beneficial relationships – with governments, shippers, traders, and other stakeholders along the global supply chain – relationships built on a foundation of mutual trust and enduring partnership.
We think ahead, anticipate change and deploy industry-leading technology to further broaden our digital vision to disrupt world trade and create the smartest, most efficient and innovative solutions, while ensuring a positive and sustainable impact on economies, societies and our planet.
Yana underperfom ukilinganisha na nani ?
Kwani hii ni mara ya kwanza ubinafsishwaji unafanyika Tanganyika chini ya kivuli cha kuongeza ufanisi ?
Punguza ujuaji mbwa wewe.Sabato njema.
DP World ni mtoto wa Dubai World ambalo ni mali ya waarabu wa dubai. Chanzo cha kufanya DP World iendeshwe na Wamarekani ni kwasababu bunge la Marekani halikuwataka waarabu waendeshe bandari za kimarekani na kuitia unajisi nchi yao, kitu ambacho sisi Tanganyika tumekiruhusu. Wamarekani walikubali DP World lifanye kazi nchini kwao kwa masharti ya kuendeshwa kupitia kampuni la Wamarekani liitwalo Ports America.
Huku kwetu watakuja kuendesha waarabu wenyewe, jambo ambalo ni hatari mno kwa usalama wa Tanganyika. Waarabu ni watu wa hovyo mno, utawatetea tu kwasababu za kidini, ila ni watu wa hovyo kwelikweli.
Thread closed.Ukilinganisha na potential yake.
Huu sio ubinafsishaji ni uwekezaji rather.
NMB inafanya vizuri hadi leo baada ya kubinafsishwa wakati ilikua imekufa technically.
Bandari inahitajia trillions of TSH kufanyiwa renovation nyie mnatoa wapi kama zaidi ya bajeti ya nchi ni hela toka nje? Kampuni gani ya ndani yenye ukwasi wa kuwekeza kwenye bandari?
I'm not against kurekebisha mkataba ila kuogopa uwekezaji/ubinafsishaji kisa kuogopa makampuni ya nje ni ujinga grade A1.
Nimejua nini?Punguza ujuaji mbwa wewe.
Mkuu don't waste your time na huyo kikojozi.Jadili mambo kama mature person..
Kama mkataba WA kinyonyaji siwezi unga mkono....usi assume nawaunga mkono sababu za dini eti.. please kuwa mature kidogo...
Nawaunga mkono under assumptions mkataba wetu Una masilahi kwetu kama ilivyo Kwa UK na wengine ..
Thread closed.