Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Kuna watu wameambiwa bandari kapewa "mwarabu" hawajui kuwa Dpworld inaendeshwa na Wamarekani.....
Ile chuki Kwa waraabu inaweza fanya watu wapishane na gari la fursa...
Kuendeshwa na wamarekani doesn't mean kuwa DPworld siyo ya waarabu. Wamarekani waendeshaji ni waajiriwa tu. Wamiliki ni waarabu. That's it
 
Ni ajabu Wazee wenye miaka 60+ wana ingia Mkataba wa miaka 100 wakati wanajua kabisa miaka 35 ijayo hawatakwepo kwenye Uso wa Dunia.

Ni wakati wa Vijana kuchukua hatua kwaajili ya kesho yao badala ya kuwategemea hawa Wazee
Hukumsikia Spika?
Huo mkataba hauna miaka 100 wala 50 ni timeless,
Siku vikiumana kila mtu ajikatae kivyake.
 
Kwani tatizo ni waarabu ?
Wangekuwa wazungu ingekuwa hakuna tatizo??
Sasa mbona kampuni yenyewe inaendeshwa na wazungu?

Na imepewa bandari za wazungu pia iendeshe???
Mkuu hawa wapingaji wengi tatizo lao ni "Waarabu" ndio maana Mzungu anajipigia madini wanaona sawa tu,angepewa Mzungu bandari wangesifu kwa kila mapambio,

Sio kila issue muwe mnahusisha race au dini.
 
Ushauri wowote wa kipochi manyoya kwangu mwiko labda awe nesi tu au mhudumu au Mzungu Mwanamke.
 
Kuendeshwa na wamarekani doesn't mean kuwa DPworld siyo ya waarabu. Wamarekani waendeshaji ni waajiriwa tu. Wamiliki ni waarabu. That's it
Kwahiyo hapa unataka kusemaje mkuu? Vipi kama ingeendeshwa na mwarabu ila mmiliki ni mzungu,hapo wewe ungeona sawa?

Ina maana tatizo lako lipo kwa waarabu au kwa Bandari kupewa kampuni kuiendesha?
 
Kwahiyo hapa unataka kusemaje mkuu? Vipi kama ingeendeshwa na mwarabu ila mmiliki ni mzungu,hapo wewe ungeona sawa?

Ina maana tatizo lako lipo kwa waarabu au kwa Bandari kupewa kampuni kuiendesha?
Nilyemjibu amenielewa wewe kwenda zako
 
Ni ajabu Wazee wenye miaka 60+ wana ingia Mkataba wa miaka 100 wakati wanajua kabisa miaka 35 ijayo hawatakwepo kwenye Uso wa Dunia.

Ni wakati wa Vijana kuchukua hatua kwaajili ya kesho yao badala ya kuwategemea hawa Wazee
Wapi mkataba umeainisha ni wa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…