Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Kwahiyo hapa unataka kusemaje mkuu? Vipi kama ingeendeshwa na mwarabu ila mmiliki ni mzungu,hapo wewe ungeona sawa?

Ina maana tatizo lako lipo kwa waarabu au kwa Bandari kupewa kampuni kuiendesha?
Kwani kinacho pingwa ni kwa sababu ni ya Waarabu? Kwani tulivyo pinga Migodi ilikuwa ni Waarabu? Punguza ufala basi Mkuu,
 
Nawashauri vijana anzeni kuwatafuta CDC Group ya Uingereza, utaingia kwa kishindo.

Msiseme hamkuambiwa.

Hao DP-World ni kwa sbb ya Usultan wao wangekuwa ni wataliano na kwa hayo mapungufu sijui ungesema nini? Ingekuwa full kashifa. WTanzania hatuna shida na iyo DP World toka kwa hao maustaadhi wenzio tatzo ni aina ya mkataba uliosainiwa kwa kunguvu za huyo dada wa kizanzibar tu. Vipengele vikiwekwa Sawa twende nao ila sio kufungamana mpk Yesu atakapo rudi.
 
Mapungufu yepi?
 
Back
Top Bottom