Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda utajirike kwenye ndoto.Mimi nimeshawapata CDC Group na wameshanambia Jumatatu kuna maafisa wao watawasiliana nami.
Kalaga baho.
Kule kwa wazungu mikataba yao haijakaa kijinga kama huu wa kwetu.Kwani tatizo ni waarabu ?
Wangekuwa wazungu ingekuwa hakuna tatizo??
Sasa mbona kampuni yenyewe inaendeshwa na wazungu?
Na imepewa bandari za wazungu pia iendeshe???
Ile Kariakoo ni ya kuipiga nyundo yote hadi soko la Karume hadi fire hadi mnazi mmoja.Jiji linabadilika sura sasa hivi. Ngoja wafike wawekezaji wa DP World ujionee.
Kwanza ile tunayoiona mijengo tunayoiona ya maana iliyochipua Kariakoo bila viwango, usishangae ukiambiwa mwekezaji mmoja anainunua yote anaipiga chini na kuweka vitu vyenye viwango kama Dubai.
Wahusika watakuwa washakufaBahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world
Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua
Britanicca
35 mingi sana hata 20 wengi hawatoboiNi ajabu Wazee wenye miaka 60+ wana ingia Mkataba wa miaka 100 wakati wanajua kabisa miaka 35 ijayo hawatakwepo kwenye Uso wa Dunia.
Ni wakati wa Vijana kuchukua hatua kwaajili ya kesho yao badala ya kuwategemea hawa Wazee
Nimejaribu i google DP World ni dude kubwaNi jambo la kushangaza sana kuna wengine badala ya kutafuta fursa za ajira wataanza kuiloga DpWorld ili ifeli wapate sababu za kumtukana Samia.
Watu hawajatembelea google kuona kuwa ina operate Bandari 6 ChinaKwani tatizo ni waarabu ?
Wangekuwa wazungu ingekuwa hakuna tatizo??
Sasa mbona kampuni yenyewe inaendeshwa na wazungu?
Na imepewa bandari za wazungu pia iendeshe???
Sio mchezo huyu Mama kapiga Bingo.Nimejaribu i google DP World ni dude kubwa
Hakika, ajabu ndiyo wanafanya maamuzi ya miaka 100 ijayo 🙆♂️35 mingi sana hata 20 wengi hawatoboi
Nilivyomsikia ni kuwa ule si mkataba bali ni makubaliano.Hukumsikia Spika?
Huo mkataba hauna miaka 100 wala 50 ni timeless,
Siku vikiumana kila mtu ajikatae kivyake.
Reli itashiba na wenye Maloli watashiba na Nchi itafaidika.Sio mchezo huyu Mama kapiga Bingo.