Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Bahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world

Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua

Britanicca
Samia atakuwa Aishamaliza muda anakula pension Unguja
 
Hivi tofauti kati ya ugaidi na uislamu ni ipi?
 
Waje wapinge na hili la kuchangamkia fursa.
Halafu Coco beach nayo imesshaurika, hivi mama hawezi aka rewind mkanda hadi pale picha likipoishia kipindi kile?
Maana naona panauzwa mihogo tu na vijana wanajifunzia kuruka beki.
 
Fursa utarajiazo hapa zitawaendea hao Hao watoto na ndugu waliopitisha huu mpango Vijana wa Tanzania bado ngonjera na ushabiki wa Mpira hasa wa nje wakati hawafaidi lolote!
 
Kuna watu wameambiwa bandari kapewa "mwarabu" hawajui kuwa Dpworld inaendeshwa na Wamarekani.....
Ile chuki Kwa waraabu inaweza fanya watu wapishane na gari la fursa...
We mlamba asari kuendeshwa na Wamarekani sio hoja, Kampuni za Dangote zinawndeshwa na Wahindi je inaondoa umiliki wa Dangote? Wewe ni Mpamvu sijawahi ona
 
Hizo ni fikra zako na upo huru.

Mbona hata Barick mwenda zake alibana mwishowe akaachia kiulaini kabisa.
Waslam wenzako hao lazima uwatetea kufa na kupona, na kwa sababu anaye uza nchi ni Mwenzako pande zile lazima umtetea kufa na kupona
 
Bahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world

Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua

Britanicca
Kama JPM na Acacia sio ?....

anyway mahakama za usuluhishi zipo ?
 
Wenzake, Hapa wangekuwa ni Wamaerkani au Wajeruman angekuwa nauwasha moto balaa
 
Waje wapinge na hili la kuchangamkia fursa.
Halafu Coco beach nayo imesshaurika, hivi mama hawezi aka rewind mkanda hadi pale picha likipoishia kipindi kile?
Maana naona panauzwa mihogo tu na vijana wanajifunzia kuruka beki.
Jiji linabadilika sura sasa hivi. Ngoja wafike wawekezaji wa DP World ujionee.

Kwanza ile tunayoiona mijengo tunayoiona ya maana iliyochipua Kariakoo bila viwango, usishangae ukiambiwa mwekezaji mmoja anainunua yote anaipiga chini na kuweka vitu vyenye viwango kama Dubai.
 
Ni Mungu pekee ambaye ana upande mmoja wa uzuri peke yake.

Tueleze changamoto zao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…