johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ndio mnashtuka leo?
Akili imeanza kurudi baada ya kifo cha jiweTunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete!
Ama kweli nyani haoni kunduleTunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete!
Jana Bavicha wote pale Kisutu kwa Yericko mlikuwa hamjavaa barakoa.akili imeanza kurudi baada ya kifo cha jiwe
Acha kudhihaki jina la Mungu....Toka Mungu wao afariki akili zimeanza kuwarudia
Uzembe wao, nao nawalaumu kama wlikuwa hawakuvaa barakoa, I do not spare them!Jana Bavicha wote pale Kisutu kwa Yericko mlikuwa hamjavaa barakoa.
Chukueni tahadhari!
Bavicha wakiongozwa na Tundu Lisu hawana adabu kabisa!Acha kudhihaki jina la Mungu....
uwe na adabu
Huwa ni wapuuzi kweli, nyumbu hazina fikra kabisaBavicha wakiongozwa na Tundu Lisu hawana adabu kabisa!
Endelea kukariri bwashee!ya wakenya tuwaachie wakenya