Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.

Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.

Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona wanafariki wakiwa nyumbani bila kujua wanaugua

Kenya.jpg
 
Tz hakuna "kolona"!

Tujadili tena baada ya wk 2 mpaka mwezi
 
Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.

Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete!
Ama kweli nyani haoni kundule
 
Kenya ni Europe ile acha wakutane na mziki wa cd laki tatu.
Wao si waingereza bwana acha wapambane na mdudu jeuri Covid.
 
Back
Top Bottom