Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!...Watu wanaofanya hii michezo ya kuchuma kwa wenzao wanachukia sana mbinu za kupambana nao
Ni kweli ushauri wako unaweza kutokomeza tatizo tena siyo mwaka hata miezi miwili inatosha, endapo wadau, taasisi za kifedha, serikali na wananchi wakiamua kususia pesa zilizoharibiwa kwa dizain hiyo hamna atakayeji-risk kupokea noti yenye matobo au mapungufu. Kikubwa tangazo lifanyike kwa noti zote zilizoharibiwa kurudishwa benki na atakayebaki nazo mkononi baada ya muda uliopangwa kuisha inakula kwake.Tuanzishe kampeni ya kutopokea pesa yoyote iliyochanika. Nadhani kila mmoja akili zitamkaa sawa. Kwa kipindi cha mwaka mmoja hii tabia itakwisha
Kwa uelewa huu ambao ndiyo mtizamo na msimamo wa jamii iliyo kubwa ya watanzania wafanyao biashara tulio nao,Hauhljafanya utafiti wa kutosha kama kweli chuma ilete huiba hela na kuchana ndio kinga yao.
Ukikua utaacha kulaumu.
Kila mtu alinde pesa take anavyojua tusipanguane.
Hakuna mwenye pesa hivuo usiumie sana utapata presha.
Pesa mpya zinapendwa sana na chuma ulete na dawa yao ni kukata kona ya hio noti.
Mi binafsi sita acha kuchana pesa hasa mpya nilioipokea benki, pesa kuukuu kwangu hazina shida.
Ndo ushangae sasa, kwenye karne hii tunayoishi ya 21 utegemei jamii ikiendelea kufanya mambo ya kijinga yaliyofanywa na jamii ya karne ya 16Duh! hii ni mpya kwangu......maajabu hayataisha duniani...
Hao mameneja wenyewe wamekalia viti kwa tunguli na hirizi.Kwa uelewa huu ambao ndiyo mtizamo na msimamo wa jamii iliyo kubwa ya watanzania wafanyao biashara tulio nao,
Ambao wengi uamini ukiwa mfanyabiashara basi upaswi kujiangaisha na elimu wala kuwa na utu wa kibiashara (business ethics)
*We tazama tu hata mwandiko wa mtu unaelezea mengi kumuhusu mtu mwenyewe.
Nakiri kuwa bado kama taifa tuna safari ndefu sana kufikia ndoto za baba wa taifa katika kutokomeza kabisa maadui watatu wa taifa yaani ujinga,maradhi na umasikini.
Mkuu hizo noti ni za kikwete? Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi kikwete alibadili noti zilipoingia tu zikawa siku mbili zimechakaa watu wakaanza lalamika zikawa zikienda bank hazirudi zikaondolewa kwenye mzunguko.Mie na wale wanaozifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Wananikera basi tu!
Na haohao wanakua kimbelembele kukataa hela kuukuu.
Ila yote haya JK, noti za kabla ya awamu yake zilikua imara sana. Sijui kwanini huyu mswahili wa Msoga aliamua kubadili na kutuletea noti zisizo na ubora, hali akijua taifa hili bado lina nakisi kubwa ya watu sio civilised.
Hii nimeiona na kwa wasukuma.Wachaga hao
Kuna mchaga alikuwa akinisimulia jinsi alivyokuwa akichana pesa kisa kujikinga na chuma ulete.
Nilimwona primitive sana
Hao mameneja wenyewe wamekalia viti kwa tunguli na hirizi.
Halafu kwenye simu na komputa hatuna mamlaka ya kuunda mwandiko kila kitu kipo kwenye software, mwandiko upo shuleni na vyuoni.
Siku nyingine tumia neno sahihi sio mwandiko maana herufi zote zilishaandikwa kazi yangu ni kuzikopi tu.
Mwandiko ni uumbaji wa herufi kitu ambacho hakipo kwenye simu.
Huwa mnajifanya mnajua kukosoa wakati mnakosoa kwa kukosea.
Kama wewe huwa unaunda mwandiko ktk vifaa hivi basi wewe ni konki master umemzidi mpaka billgate.
Ndio manaake Mkuu ni inshu za ushirikina tu hamna kingine.Ndani ya wiki moja nimekutana na elfu kumbi mbili zimechanwa, kumbe hii ndio maana!!!?.
Kwahiyo mkuu kuchana pesa kunatoa kinga ya uhakika kwa majini ya ChumaUleteIla chuma ulete ipo wazee msichukulie poa
Ongera ndio nini?Ongera naona hivi sasa umeandika kwa umakini na siyo papara, hapo nimekubali defeat.
Ila huo mstari wako wa kwanza kuhusu tunguri na hirizi ndo umenichefua maana ume-generalize kana kwamba ni lazima wote lazima wafanye hivyo ndo wawe mameneja.
Akili za kindezi hizi,hizi imani za chuma ulete. ni ungese tu mbona hawaendi benki kuchukua pesa?Hauhljafanya utafiti wa kutosha kama kweli chuma ilete huiba hela na kuchana ndio kinga yao.
Ukikua utaacha kulaumu.
Kila mtu alinde pesa take anavyojua tusipanguane.
Hakuna mwenye pesa hivuo usiumie sana utapata presha.
Pesa mpya zinapendwa sana na chuma ulete na dawa yao ni kukata kona ya hio noti.
Mi binafsi sita acha kuchana pesa hasa mpya nilioipokea benki, pesa kuukuu kwangu hazina shida.
Ujinga wa kiwango cha juu zaidi, na hili limeibuka sana wakati wa utawala wa jiwe.
Mwenye Uzi haamini katika chuma ulete. Kwa taarifa yako ni sayansi ya hali ya juu, ila kuchana pesa ni kama kujihami, niwashauri!! Chukuwa mkaa wa moto weka kwenye maji mpaka usikie Ile sauti "psiiiiiiiiiiiiiiii" . Upooze na weka sehemu unayohifadhi pesa zako. Mchawi hakaribii.
Asante Mkuu, kwa kutilia mkazo suala hili.Ni ujinga ambao si tu umepitwa na wakati, lakini hautakiwi kuwa na wakati.