chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza
Tuna familia, watoto, ndugu, wazazi, bibi na babu. Tuko tayari hatma yao 2025 October tuikabidhi kwa kichaa kama Lissu ambaye ataanza kuvuruga na kutukana watu hovyo? Hilo Baraza la Mawaziri ambalo wataliunda watajadilije mambo ya nchi?
Kama sasa hivi wanataka kupinduana, watashindwaje kambi moja ishirikiane na jeshi kupindua kambi nyingine? Tunaona Sudan hali ilivyo? Tuko tayari kukimbia vita twende nchi jirani? Ipi? zote hali mbaya, Burundi, Rwanda ni hovyo kabisa, Kenya tia maji, Uganda iko katika de facto state of war kama Rwanda, Burundi na Congo.
Kenya sasa hivi tuna amani wameanzisha crusade dhidi ya wasanii wetu, sembuse twende kule kama wakimbizi.
#zimwiLikujualo