Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu.Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
https://t.co/0HpKbGTrwM