Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga.
Inasikitisha kuona Serikali ya CCM imeshindwa kuwajibika kwa tuhuma ambazo actually ni nzito zaidi—mauaji ya halaiki, kujiweka madarakani na kuendekeza corruption. Watanzania tumerogwa na nani?
———————————————————————
www.reuters.com

Bulgarian government resigns after weeks of street protests
Bulgaria's government resigned on Thursday after less than a year in power, following weeks of street protests over its economic policies and its perceived failure to tackle corruption.