Watanzania Tujengeni Utamaduni wa Kuwajibika na Kuwajibishana: A lesson from Bulgaria!

Watanzania Tujengeni Utamaduni wa Kuwajibika na Kuwajibishana: A lesson from Bulgaria!

Hatua hiyo inaanzia ngazi ya familia, tatizo ngazi ya familia tumelelewa mkubwa is always right hata aboronge vipi

Mdogo tu ndio atawajibishwa mkuubwa hawajibishwi

Matokeo unayaona leo ni mila na desturi za malezi ya mbongo
Huu upumbavu ndio siutakagi hata kusikia

Siongei na ndugu zangu yapata mwaka now ,,

And I'm glad for that ,
 
Back
Top Bottom