Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Hatua hiyo inaanzia ngazi ya familia, tatizo ngazi ya familia tumelelewa mkubwa is always right hata aboronge vipiHatua Kama hii ingewezekana awamu ya kwanza ya Baba wa Taifa.
Kwa sasa utamaduni wa kuwajibika tayari umekufa.
Hii inatokana na NEPOTISM inayoisumbua Africa.
Hata MTU akitumbulia ni Kama anawekwa SUB tu baadae anaingizwa . uwanjani.
Absolute is okayHatua hiyo inaanzia ngazi ya familia, tatizo ngazi ya familia tumelelewa mkubwa is always right hata aboronge vipi
Mdogo tu ndio atawajibishwa mkuubwa hawajibishwi
Matokeo unayaona leo ni mila na desturi za malezi ya mbongo
Tujiuzuru na shida hizi tulizonazo. vyeo vimetukomboa toka kwenye maisha ya shida halafu unataka tujiuzuru turudi tuliko toka ilikuwafurahisha watu ambao nao wanavimezea mate hivi vyeoJana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga.
Inasikitisha kuona Serikali ya CCM imeshindwa kuwajibika kwa tuhuma ambazo actually ni nzito zaidi—mauaji ya halaiki, kujiweka madarakani na kuendekeza corruption. Watanzania tumerogwa na nani?
———————————————————————
Bulgarian government resigns after weeks of street protests
Bulgaria's government resigned on Thursday after less than a year in power, following weeks of street protests over its economic policies and its perceived failure to tackle corruption.www.reuters.com
Hapa hapa; tutaheshimiana tu. Your days are numbered!Omba Uraia huko uhamie
Keep on deceiving yourselfHapa hapa; tutaheshimiana tu. Your days are numbered!
Kwa vichaa wenye uroho wa kama Samia na genge lake la wahuni watoe kabisa kwenye kundi lenye human characteristics, they're worse than animals. Wanyama(most of them) at least huwa wanaua kwa ajili ya kula lakini hawa kina Samia they just kill for the sake of killing.Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga.
Inasikitisha kuona Serikali ya CCM imeshindwa kuwajibika kwa tuhuma ambazo actually ni nzito zaidi—mauaji ya halaiki, kujiweka madarakani na kuendekeza corruption. Watanzania tumerogwa na nani?
———————————————————————
Bulgarian government resigns after weeks of street protests
Bulgaria's government resigned on Thursday after less than a year in power, following weeks of street protests over its economic policies and its perceived failure to tackle corruption.www.reuters.com
Apathy yetu ndiyo mtaji wao. Tunatakiwa kuingia road in an overwhelming number and on a sustained basis! That way, tutaweza kuwafurusha hao mazafakas within one week!Kwa vichaa wenye uroho wa kama Samia na genge lake la wahuni watoe kabisa kwenye kundi lenye human characteristics, they're worse than animals. Wanyama(most of them) at least huwa wanaua kwa ajili ya Kula lakini hawa kina Samia they just kill for the sake of killing.
If we do that, it’ll take not more than three days to kick them out.Apathy yetu ndiyo mtaji wao. Tunatakiwa kuingia road in an overwhelming number and on a sustained basis! That way, tutaweza kuwafurusha hao mazafakas within one week!
Huko bulgaria na wengineo vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya ustawi wa taifa na watu wake ,hapa tanzania vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya ustawi wa watawala na familia zao, vitu viwili tofauti kabisaJana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga.
Inasikitisha kuona Serikali ya CCM imeshindwa kuwajibika kwa tuhuma ambazo actually ni nzito zaidi—mauaji ya halaiki, kujiweka madarakani na kuendekeza corruption. Watanzania tumerogwa na nani?
———————————————————————
Bulgarian government resigns after weeks of street protests
Bulgaria's government resigned on Thursday after less than a year in power, following weeks of street protests over its economic policies and its perceived failure to tackle corruption.www.reuters.com
Kwa umoja wetu tukiamua iwe tofauti itakuwa. Ni fedheha kwa watu 60+ million kupelekeshwa na kundi dogo la wahuni.Huko bulgaria na wengineo vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya ustawi wa taifa na watu wake ,hapa tanzania vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya ustawi wa watawala na familia zao, vitu viwili tofauti kabisa
Ingekuwa rahisi kama jeshi lingekuwa upande wa wananchi ila ikiwa jeshi nalo limesaliti na linaua wananchi wa taifa lake kwa kiwango kile hapo msaada ni vikundi vya uasi tuuKwa umoja wetu tukiamua iwe tofauti itakuwa. Ni fedheha kwa watu 60+ million kupelekeshwa na kundi dogo la wahuni.