Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 14, 2025 #21 Nani wa kujiuzulu hapa, wakati msibani tu mamevimbiana na kununiana... Cc: Mahondaw
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,393 Dec 14, 2025 #22 Detective J said: Hatua hiyo inaanzia ngazi ya familia, tatizo ngazi ya familia tumelelewa mkubwa is always right hata aboronge vipi Mdogo tu ndio atawajibishwa mkuubwa hawajibishwi Matokeo unayaona leo ni mila na desturi za malezi ya mbongo Click to expand... Huu upumbavu ndio siutakagi hata kusikia Siongei na ndugu zangu yapata mwaka now ,, And I'm glad for that ,
Detective J said: Hatua hiyo inaanzia ngazi ya familia, tatizo ngazi ya familia tumelelewa mkubwa is always right hata aboronge vipi Mdogo tu ndio atawajibishwa mkuubwa hawajibishwi Matokeo unayaona leo ni mila na desturi za malezi ya mbongo Click to expand... Huu upumbavu ndio siutakagi hata kusikia Siongei na ndugu zangu yapata mwaka now ,, And I'm glad for that ,