Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla.
Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba Watanzania wenyewe hawajitambui hivyo ni kupoteza muda kuwahangaikia wakati wao wenyewe hawajijali!
Hivyo viongozi wanaamua kuangalia maslahi yao binafsi (kwahili siwalaumu). Hivi tutamtegemea Mbowe na Lisu mpaka lini?! Sisi wenyewe tunajua nguvu yetu kwenye kulikomboa hili TAIFA?! Wameshatia mchango wao vya kutosha, Watanzania Sasa tuamue nini tunataka tuache kulalamika. Tutamlaumu Mbowe, tutailaumu serikali halafu baada ya lawama nini kinafuata?!