onechromosome
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 1,243
- 780
Kwani lissu ndio aliowaleta barick kuja ktuibia madini?au mbowe ndio kasaini nao mikataba ya uchimbaji madini,tatizo mnadhani bado watz wajinga na hamjifunzi,kwanza mlisema chadema imekufa,pili mmefanya mema na mazuri mengi hamtapiga kampeni watu wanaona maendeleo mliofanya,sasa tulieni tuoneUnaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Wewe unataka tuendelee kupewa kesi za uhujumu uchumi adi lini bora pachafuke tufe tumpumzike matesoKuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
Wanaleta Propaganda za Lumumba. Kila Siku Libya, Syria etc. Huwasikii wakisema Malawi, Kenya au Zambia am so ni majirani zetu, Wapinzani wanaongoza na hakuna kilichoharibika. Pia hutawasikia wao wakijifananisha na Zimbabwe ambako chama cha ukombozi kimewafanya wananchi wake wakimbizi.Propaganda za 1980.😀😀😀😀😀😀✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.

Unajitia wazimu au upofu kwamba huoni chanzo cha tatizo na kutufananishia nchi yetu na nchi Kama Libya na nyingine ikiwa unajua kwamba tatizo linaanzia kwa rais wa nchi hii yeye ndiyo chanzo kikuu kabisa Cha mvurugano ambao unaweza kutokeaSitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Mwaka huu hata kama shetani anaweza kuleta maendeleo,amani na utu nitamsikiliza-For Nw ni LissuSitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Yaani kwa huu ujinga ulioandika ndo maana hata kingereza kirahis hukijui mwishowe umeandika broken, hata mtoto wa class 1 hawezi kuandika kingereza kibovu hivo. Shubamiti!!!Mkuu Naunga Mkono Andiko lako
Mtu kama kgg2014 ile ni Moja ya Strategies yao kuleta Machafuko
Haiwezekan watu wa kawaida wakawa na uwezo wakufanya Mambo kama yale, Ule ni Mtandao mkubwa Sana na wenye nguvu kubwa na wapo well Organized kifedha na kila kitu kuhakikisha wanatimiza wanayo yataka
Mtu Ana Access ya kila taarifa nchi Tanzania japo hawez kupata zote
Maelezo yao yatatupa Taarifa kuhus wao
Hata Namna ya Uandishi wake ni katika mfumo ambao Lazima ataku'panic kisha kirahisi Sana na ndio mana Twitter nzima imejaa wakosoaji wasio na Sababu za Msingi Sababu akina kigg2014 They do know how to deals with people Mind Wanalisha watu sumu kila kukicha, Na watu wala hawashtuki wala Nini, Ni mwendo wa kuunga tella tuu
Hata Libya before kifo cha gadaffi Fukuto Fukuto lilianzia mtandaoni
Tuwe Makini Sana na Upinzani
Kam ni MAAFA yatatukuta Wote Sio CCM pekee
Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
We endela kuamini hiyo akili yako ya matope, yaan kiujanja ujanja alafu uwe super power mwenzako ana miaka 244 toka apate uhuru toka kwa mwingereza wewe hata miaka 60 huna alafu unamtuhumu kwa mafanikio yake. Utakua mjinga kutoka ccm sio bure. Shame on you!!marekani hajawai kupata maendeleo kihalali hata siku moja. Wote tunamjua vuzuri hivyo ndivyo alivyo zoea kupata maendeleo kiujanja ujanja. Maendeleo yao ni ya wizi wizi wa kupora mali. Wakati wenzao wanaumia
Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Nenda deep kidogo,mshauri hata anayeonekana anaweza kusababisha fujo.Usiache vitu hewani jombaa.Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
Nitawakumbusha Marekani soon baada kuingia utawala wa trump. Alisikika akisema nataka americans waitawale Africa kwa mara nyingine.
Kilicho fanyika Libya sidhani kama kuna mtu amesahau na endapo unakumbuka sidhani kama mtu mwenye akili atakubali kuingia kwenye hii trap.
Haijawahi tokea Marekani akapenda Maendeleo ya nchi yeyote katika dunia hii.