Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Kwani lissu ndio aliowaleta barick kuja ktuibia madini?au mbowe ndio kasaini nao mikataba ya uchimbaji madini,tatizo mnadhani bado watz wajinga na hamjifunzi,kwanza mlisema chadema imekufa,pili mmefanya mema na mazuri mengi hamtapiga kampeni watu wanaona maendeleo mliofanya,sasa tulieni tuone
 
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
Wewe unataka tuendelee kupewa kesi za uhujumu uchumi adi lini bora pachafuke tufe tumpumzike mateso
 
akili mgando hizi omba sana utoke kwenye huu ujinga bwana mdogo elly
 
Propaganda za 1980.😀😀😀😀😀😀✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Wanaleta Propaganda za Lumumba. Kila Siku Libya, Syria etc. Huwasikii wakisema Malawi, Kenya au Zambia am so ni majirani zetu, Wapinzani wanaongoza na hakuna kilichoharibika. Pia hutawasikia wao wakijifananisha na Zimbabwe ambako chama cha ukombozi kimewafanya wananchi wake wakimbizi.
 
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.

Tanzania sio libya, Gadaffi alirikoroga mwenyewe akavuna alichopanda.Usipowasikiliza wananchi wanataka nini kwann uwalaumu USA, kwan USA ndie anakwambia uua watu,zulumu korosho zao,teka watu,uwa demokrasia,bambika watu kesi,wanyime haki zao, wabomolee watu nyumba zao,wapore watu pesa zao.Unapokataa kuwasikiliza watu usimlaumu USA.Kiongozi makini mtaji wake ni watu uwekeza kwa watu na sio kuwekeza au kutegemea dola.
 
Nchi kubadili chama sio dhambi nchi katiba na sio chama. Hakuna nchi yeyeto duniani imewahi sambaratika kwa kubadili chama vyama watawala upita.
 
Ushauri huu mzuri, anayejipanga kuliangamiza hili taifa ni shetani ccm, cheki mara wapige wagombea kwa mawe.
mara wawakate wagombea ili wao wapite bila kupingwa
mara wanawafungia wa upinzan kufanya kampeni.
mara polisi kupiga mabomu wagombea wa upinzan.
CCM hacheni mpango wenu wa kuliangamiza hili taifa, naamini nanyi hamtakuwa salama asilani
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
 
Kwamba Marekani hawajawahi kuwa rafiki [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hizi propaganda zilikuwa zinatumika enzi za cold war na warusi +waarabu miaka ile ya 1980s ... Jamani wakati mwingine muwe mnatafiti kiundani kabla ya kuchukulia jambo kama lilivyo...by the way mleta maada hujatupa(hujanipa) hard evidence kwa swala uliloongelea[emoji135][emoji135][emoji135]
 
Kosa kubwa la Gadaffi na Saddam walijitakiwa wenyewe ni kutowaunganisha watu wao ili wazungumze lugha moja ukiwaunganisha watu wako watakulinda watasimama na wewe wakati wa tabu, usipowaunganisha watasimama na adui watakumaliza kwa njia ya demokrasia au Vita. Hizi ni propaganda mfu za lumumba mbona awatoi mifano ya nchi kama Malawi, Zimbabwe, sudani, Tunisia, algeria umma ulipooungana kuupinga uovu na ukashinda na maisha yanakwenda tu.
 
Kama viongozi wakiongoza kwa haki hatuwezi pata shida kabisa,shida inakuja pale ambapo viongozi watu wanapokua chanzo cha machafuko kwa kutokubali matakwa/sauti wananchi kwenye sanduku la kura.
 
Je USA ndiye wamefuta fao la kujitoa? Je USA ndiyo wameongeza kutoka 8% to 15% ya makato ya HESLB? je USA ndiyo wamepora korosho kule kusini? Je USA ndiyo hajapandisha mishahara fo 5 years kwa watumishi wa umma? Je USA ndiye kazuia bunge live? Je USA ndiye alikataa uchunguzi huru kupigwa risasi16 kwa TL? je USA ndiye ameleta sheria mpya ya NGO, je USA ndiyo walivamia ma bureau de change na kupora pesa? Je USA ndiye alininnuua wapinzani na kupelekea kurudiwa kwa chaguzi ambazo hazikua na tija? Je USA ndiye alifukuza watumushi kwa kisingizio cha vyeti feki alafu akawanyima mafao yao? Je USA ndiye alivamia ofisi za clouds na kumfukuza kazi Nape kwenye nafasi ya uwaziri? Je USA ndiyo kawatisha wapiga kura kutowapelekea maendeleo endapo watachagua upinzani? Je USA ndiyo walimtuma musiba awatukane viongozi wandamizi ndani ya ccm? Kama jibu ni diyo basi USA atakua ni adui namba moja wa watanzania kama ni hapana basi adui mkubwa wa watanzania ni huyo aliyesababisha hayo yote.
 
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Unajitia wazimu au upofu kwamba huoni chanzo cha tatizo na kutufananishia nchi yetu na nchi Kama Libya na nyingine ikiwa unajua kwamba tatizo linaanzia kwa rais wa nchi hii yeye ndiyo chanzo kikuu kabisa Cha mvurugano ambao unaweza kutokea
Hapa
Na bila kutumia akili unawalaumu wazungu? Kwa lipi ni Mambo ya kuchekesha sana na africa tunaonekana Kama hatuna akili kwa ujinga wenu wenyewe kuwapakazia wazungu

Mkiwa wajinga na watu wakitumia ujinga wenu Kama fursa ubaya ni Nini
Hichi kinachotokea hakijawahi kutokea miaka ya nyuma Sasa je kinasababishwa na Nini? Ndiyo swali la kujiuliza na julifanyia kazi
Nyingine zote ni porojo tu zisizo na msingi wala akili ndani yake
 
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Mwaka huu hata kama shetani anaweza kuleta maendeleo,amani na utu nitamsikiliza-For Nw ni Lissu
 
Mkuu Naunga Mkono Andiko lako

Mtu kama kgg2014 ile ni Moja ya Strategies yao kuleta Machafuko
Haiwezekan watu wa kawaida wakawa na uwezo wakufanya Mambo kama yale, Ule ni Mtandao mkubwa Sana na wenye nguvu kubwa na wapo well Organized kifedha na kila kitu kuhakikisha wanatimiza wanayo yataka

Mtu Ana Access ya kila taarifa nchi Tanzania japo hawez kupata zote

Maelezo yao yatatupa Taarifa kuhus wao
Hata Namna ya Uandishi wake ni katika mfumo ambao Lazima ataku'panic kisha kirahisi Sana na ndio mana Twitter nzima imejaa wakosoaji wasio na Sababu za Msingi Sababu akina kigg2014 They do know how to deals with people Mind Wanalisha watu sumu kila kukicha, Na watu wala hawashtuki wala Nini, Ni mwendo wa kuunga tella tuu

Hata Libya before kifo cha gadaffi Fukuto Fukuto lilianzia mtandaoni

Tuwe Makini Sana na Upinzani
Kam ni MAAFA yatatukuta Wote Sio CCM pekee
Yaani kwa huu ujinga ulioandika ndo maana hata kingereza kirahis hukijui mwishowe umeandika broken, hata mtoto wa class 1 hawezi kuandika kingereza kibovu hivo. Shubamiti!!!
 
Sio aende hapo karibu tu malawi uone walivotulia na chama tawala kikiwa kimekabidhi madaraka tena kwa amani kabisa??

Kenge wee
Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
 
marekani hajawai kupata maendeleo kihalali hata siku moja. Wote tunamjua vuzuri hivyo ndivyo alivyo zoea kupata maendeleo kiujanja ujanja. Maendeleo yao ni ya wizi wizi wa kupora mali. Wakati wenzao wanaumia
We endela kuamini hiyo akili yako ya matope, yaan kiujanja ujanja alafu uwe super power mwenzako ana miaka 244 toka apate uhuru toka kwa mwingereza wewe hata miaka 60 huna alafu unamtuhumu kwa mafanikio yake. Utakua mjinga kutoka ccm sio bure. Shame on you!!
 
Canada na bariki wao ni nani alimleta humu nchini?? Ndio maana wadau wanasema hoja zenu ni za 1940
Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
 
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
Nenda deep kidogo,mshauri hata anayeonekana anaweza kusababisha fujo.Usiache vitu hewani jombaa.
 
Nchi ikichafuka adui yako wajua ni nani?? Au utakuwa unapiga kila anayekuja mbele yako??

Adui yetu ni mmoja tu naye ni ccm, thats all, ivyo ccm kama adui atapondwa kisawasawa
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
 
Kwa iyo gadafi kaanguka kipindi cha trump?? Hata mambo huyajui ni kuropoka tu na kutishana.

kwa taharifa yako this time kama si kuiba kura ccm lazima afe, hakubaliki kabisa.
Mlidai chadema itakuwa imekufa mda huu, sasa vitisho vya nn??
Na kuiba kura ccm haitaiba, this time hatutakubali.
Nitawakumbusha Marekani soon baada kuingia utawala wa trump. Alisikika akisema nataka americans waitawale Africa kwa mara nyingine.

Kilicho fanyika Libya sidhani kama kuna mtu amesahau na endapo unakumbuka sidhani kama mtu mwenye akili atakubali kuingia kwenye hii trap.

Haijawahi tokea Marekani akapenda Maendeleo ya nchi yeyote katika dunia hii.
 
Back
Top Bottom