Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Kwa lugha nyepesi wanayotumia Wamarekani ni kuwa "they do not have permanent friends, but they have permanent interests" yaani "hawana Rafiki wa kudumu bali wana maslahi ya kudumu". Kazi kwetu kuamua - kuunga mkono sera zenye manufaa na faida kwetu au kuunga mkono sera zenye manufaa na faida kwa mabeberu na vibaraka wao ifikapo 28/10/2020.
 
Acha vioja mtoto mdogo.

Kuhusu anguko la gaddafi sijasema kuwa kaanguka kipindi cha trump, bali nimetumia past tense kuonesha hilo tukio lilitokea huko nyuma.

Mbona Chadema imekufa muda mrefu sana.

But mtu aliyebaki ni Tundu Lissu as individual who sponsored by Chadema.
But:
Ngazi ya serikali za mitaa ni zero kabisa,hamna viongozi!

Madiwani ndio siwezi mention kitu chochote.

Wabunge,sidhani hata kumi watafika kwa nchi nzima.

Na msichojua serikali sio mtu mmoja,serikali ni system.

Bye bye CHADEMA.
 
CHADEMA hawawezi kuiongoza Tanzania kwasasa hilo hata watanzania wanalijua.

Labda wasubiri kwanza watafute viongozi wasomi kuanzia ngazi wabunge. Hapo wataweza ni hayo tu
Nitaje viongozi wasomi wa CCM watatu tu,mimi nitakutajia viongozi 2000 wasomi walioelimika, wenye hofu ya kweli ya Mungu,wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi na wenye shauku ya kuwatumikia Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuna IQ ndogo sana nmegundua hivi kilichoharibu Libya ni beberu au vita ya wenyewe kwa wenyewe?
Hivi kama Gadaffi angejiuzulu tu au kuomba mazungumzo na wapinzani wake nchi ingeingia vitani? Vipi Tunisia,Misri na Algeria mbona walipinduliwa lakini hatukuona uharibifu kma Libya.

Sababu viongozi waliondoka kwa amani bila kuingiza majeshi mitaani. Kma ni hivyo basi laumu na Nyerere kumng'oa Idd amin au Kabila kumng'oa dikteta mobutu maana hizo vita zilileta umaskini hizo nchi mbili mpaka leo hazijatengemaa.

Kupinduliwa na Vita ni vitu viwili tofauti msiviweke pamoja ni upotoshaji. Kma magufuli akipinduliwa na mabeberu akatoka kwa amani hutaona nchi ikiingia vitani ila akijibu mapigo kwa kuingiza jeshi then hayo ya Libya ndio yanatokea.
 
Beberu asingekamata ndege zetu kama sio ninyi wapinzani. Kila mtanzania anajua wazi ninyi ndio chanzo cha ndege zetu kukamatwa na kuzuiliwa kwa mikopo yetu.
Zilikamatwa kwa kutuonea au walikuwa wana sababu ya kuzikamata
 
Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Propaganda za kipumbavu
 
Mnaokula kwakutegemea ccm naona mnatapatapa.Badala yakutumia muda mwingi kuandika ujinga wa karne zilizopita unatakiwa ujiulize je hali ikoje nchi hii kuanzia ilikotoa hadi ilipo na ilikotakiwa kuwa.Watz wa sasa sio wamiaka ya zidumu fikra za mwenyekiti kwahiyo kwavyovyote iwavyo ccm ndo mwisho mwisho hivyo.Someni ata alama za nyakati.
 
Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
Unaonekana unajua vizuri historia ya Libya! Hivyo kwa ufupi ungeelezea kwa ufupi chanzo cha USA/NATO kuingia Libya.
 
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwakuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa nikama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unge balance story yako!

Zaidi ni kuwa watumishi wa Imma wawe Makini, wasijiingize katika siasa.
 
Naomba tucheze kamari mkuu katika huu uchaguzi. Mimi nipo CCM na nina imani Magufuli atashinda wewe uwe na CHADEMA yako naomba tucheze kamari. Tuweke dau
 
Naunga mkono hoja kamwe tusikaribishe matatizo ndani.

October 28 kura zote kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
 

Attachments

Sisi tunampigia kura Lissu, sio Trump, labda umechanganya mafaili
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…