EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
- Thread starter
- #61
Hahahaaa chief, sema tu wewe na upinzani damu damu.akili mgando hizi omba sana utoke kwenye huu ujinga bwana mdogo elly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa chief, sema tu wewe na upinzani damu damu.akili mgando hizi omba sana utoke kwenye huu ujinga bwana mdogo elly
Kwa lugha nyepesi wanayotumia Wamarekani ni kuwa "they do not have permanent friends, but they have permanent interests" yaani "hawana Rafiki wa kudumu bali wana maslahi ya kudumu". Kazi kwetu kuamua - kuunga mkono sera zenye manufaa na faida kwetu au kuunga mkono sera zenye manufaa na faida kwa mabeberu na vibaraka wao ifikapo 28/10/2020.Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Acha vioja mtoto mdogo.Kwa iyo gadafi kaanguka kipindi cha trump?? Hata mambo huyajui ni kuropoka tu na kutishana.
kwa taharifa yako this time kama si kuiba kura ccm lazima afe, hakubaliki kabisa.
Mlidai chadema itakuwa imekufa mda huu, sasa vitisho vya nn??
Na kuiba kura ccm haitaiba, this time hatutakubali.
Nitaje viongozi wasomi wa CCM watatu tu,mimi nitakutajia viongozi 2000 wasomi walioelimika, wenye hofu ya kweli ya Mungu,wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi na wenye shauku ya kuwatumikia Watanzania.CHADEMA hawawezi kuiongoza Tanzania kwasasa hilo hata watanzania wanalijua.
Labda wasubiri kwanza watafute viongozi wasomi kuanzia ngazi wabunge. Hapo wataweza ni hayo tu
Watanzania tuna IQ ndogo sana nmegundua hivi kilichoharibu Libya ni beberu au vita ya wenyewe kwa wenyewe?Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Zilikamatwa kwa kutuonea au walikuwa wana sababu ya kuzikamataBeberu asingekamata ndege zetu kama sio ninyi wapinzani. Kila mtanzania anajua wazi ninyi ndio chanzo cha ndege zetu kukamatwa na kuzuiliwa kwa mikopo yetu.
Propaganda za kipumbavuUnaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Unaonekana unajua vizuri historia ya Libya! Hivyo kwa ufupi ungeelezea kwa ufupi chanzo cha USA/NATO kuingia Libya.Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwakuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa nikama ushabiki Simba na YangaWatanzania tuna IQ ndogo sana nmegundua hivi kilichoharibu Libya ni beberu au vita ya wenyewe kwa wenyewe?
Hivi kama Gadaffi angejiuzulu tu au kuomba mazungumzo na wapinzani wake nchi ingeingia vitani? Vipi Tunisia,Misri na Algeria mbona walipinduliwa lakini hatukuona uharibifu kma Libya.
Sababu viongozi waliondoka kwa amani bila kuingiza majeshi mitaani. Kma ni hivyo basi laumu na Nyerere kumng'oa Idd amin au Kabila kumng'oa dikteta mobutu maana hizo vita zilileta umaskini hizo nchi mbili mpaka leo hazijatengemaa.
Kupinduliwa na Vita ni vitu viwili tofauti msiviweke pamoja ni upotoshaji. Kma magufuli akipinduliwa na mabeberu akatoka kwa amani hutaona nchi ikiingia vitani ila akijibu mapigo kwa kuingiza jeshi then hayo ya Libya ndio yanatokea.
Mkuu, unge balance story yako!Mkuu Naunga Mkono Andiko lako
Mtu kama kgg2014 ile ni Moja ya Strategies yao kuleta Machafuko
Haiwezekan watu wa kawaida wakawa na uwezo wakufanya Mambo kama yale, Ule ni Mtandao mkubwa Sana na wenye nguvu kubwa na wapo well Organized kifedha na kila kitu kuhakikisha wanatimiza wanayo yataka
Mtu Ana Access ya kila taarifa nchi Tanzania japo hawez kupata zote
Maelezo yao yatatupa Taarifa kuhus wao
Hata Namna ya Uandishi wake ni katika mfumo ambao Lazima ataku'panic kisha kirahisi Sana na ndio mana Twitter nzima imejaa wakosoaji wasio na Sababu za Msingi Sababu akina kigg2014 They do know how to deals with people Mind Wanalisha watu sumu kila kukicha, Na watu wala hawashtuki wala Nini, Ni mwendo wa kuunga tella tuu
Hata Libya before kifo cha gadaffi Fukuto Fukuto lilianzia mtandaoni
Tuwe Makini Sana na Upinzani
Kam ni MAAFA yatatukuta Wote Sio CCM pekee
zilikamatwa sababu ya viongozi wa upinzani ambao walikua wanatufanyia uhuni wa kuchongea kwa mabeberuZilikamatwa kwa kutuonea au walikuwa wana sababu ya kuzikamata
ni wivu tu wa hao jamaa wa maendeleo ya serikali ya LibyaUnaonekana unajua vizuri historia ya Libya! Hivyo kwa ufupi ungeelezea kwa ufupi chanzo cha USA/NATO kuingia Libya.
Naomba tucheze kamari mkuu katika huu uchaguzi. Mimi nipo CCM na nina imani Magufuli atashinda wewe uwe na CHADEMA yako naomba tucheze kamari. Tuweke dauMnaokula kwakutegemea ccm naona mnatapatapa.Badala yakutumia muda mwingi kuandika ujinga wa karne zilizopita unatakiwa ujiulize je hali ikoje nchi hii kuanzia ilikotoa hadi ilipo na ilikotakiwa kuwa.Watz wa sasa sio wamiaka ya zidumu fikra za mwenyekiti kwahiyo kwavyovyote iwavyo ccm ndo mwisho mwisho hivyo.Someni ata alama za nyakati.
Naomba tucheze kamari mkuu katika huu uchaguzi. Mimi nipo CCM na nina imani Magufuli atashinda wewe uwe na CHADEMA yako naomba tucheze kamari. Tuweke dauLisu kaza kamba baba watu wanajinyea huku
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.