Amsterdam ni wakili tapeli Rais Putin wa Russia alimkosakosa kumfunga. Kwa kifupi ada ya huyu wakili kunauwezekano unalipwa na makampuni makubwa yenye maslahi na Tanzania.Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Lakini pia tukumbushe viongozi wetu kuwa mifano bora hasa katika kuwaunganisha watanzania badala ya kutumia kauli mbali mbali za KUWAGAWA WATANZANIA.Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Hii ya Libya ilikua 1980?Propaganda za 1980.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Mbona tunawachekelea kwa kupokea misaada yao?Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
Hata akichukua dola milion 50 siyo mbaya cha msingi tuondokane na huyu kaburu mweusiUnaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Us beberu mbabe wa madictorSitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Sitaandika mengi Leo,

Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
Unahangaika kwasababu ya uzembe wa mtu mmoja anaejiita jiwe,kama tanzania itageuka Libya basi chanzo ni yeye,raisi hawezi tenda ndivyo sivyo na wananchi wakae kimya kama mazombi eti kwasababu yatatupata kama ya Libya.Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.
lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.
Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.
Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.
Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Wewe unachuki binafsi. Tuache sis na Magufuli wetuUnahangaika kwasababu ya uzembe wa mtu mmoja anaejiita jiwe,kama tanzania itageuka Libya basi chanzo ni yeye,raisi hawezi tenda ndivyo sivyo na wananchi wakae kimya kama mazombi eti kwasababu yatatupata kama ya Libya.
Huu utawala unaumiza sana wananchi kwa kisingizio cha maendeleo.watu wamefungwa hovyo,watu wameporwa mali zao hovyo,watoto wetu kuajiriwa mpaka nyakati za kampeni tena kilichotoka ni matangazo ya ajira tu,inawezekana kabisa ukiisha uchaguzi mchakato ukasimama.
Nakueleza huu ushauri umeshachelewa kiutoa kwani ulipaswa kumshauri jiwe asiendeshe nchi kama familia yake,ungemwambia aache kuendekeza ukabila,aache kupendelea usukumani kwani yeye ni raisi wa tz.
Ungemwambia sheria izingatiwe kwa wote kwani anaongoza kufanya matumizi ya pesa za uma bila kufuata budget iliopitishwa na bunge.
Kimsingi usitutishe unaendelea kutitia hasira tar 28 hawezi kusalimika
Ujinga wangu uko wapi, hoja mbona ziko wazi.Mjinga wewe
Una akili ndogo...am sorryHii ya Libya ilikua 1980?