Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
 
Sawa, lkn umeanzia mbali sana ungeanza kutueleza kabla ya kufika hapo US mwenyewe alianza na vita ya ndani (watu weusi vs weupe) - akina Martin Luther King waliuawa wakati wakipigania maendeleo ya watu

Sasa sisi tuna bahati nzuri kwa sababu kuna mataifa mengi ya mfano ambayo yamefanya chaguzi kisha yakakabidhiana nchi bila fujo i.e Nigeria (Buhari vs Jonathan); Malawi (Chakwera vs Muthalika)

Kwa hiyo ikitokea mitifuano itakuwa sababu ya viongozi wasiojua kutafsiri katiba na wenye uchu wa madaraka
 
Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
 
Kuna baadhi ya watu wanachukulia poa swala la nchi kuchafuka wakiamini kuwa maumivu yakizid kuna mtu atasimama na kusema bas na watu wakaacha, mi nadhani ni vijana wasio na majukumu wala familia ndio wanaochukulia poa ilo swala. Mungu atuepushie mbali kwan hata huu muda wa kutaniana na kuelimishana hapa JF hautokuwepo tena.
 
Point yako ni sahihi, ila swala la kumchekelea U. S ukidhani anakuunga mkono litakuja kuwatokea puani. Kama huamini nenda libya ukaone wanavyosota
Mkuu Naunga Mkono Andiko lako

Mtu kama kgg2014 ile ni Moja ya Strategies yao kuleta Machafuko
Haiwezekan watu wa kawaida wakawa na uwezo wakufanya Mambo kama yale, Ule ni Mtandao mkubwa Sana na wenye nguvu kubwa na wapo well Organized kifedha na kila kitu kuhakikisha wanatimiza wanayo yataka

Mtu Ana Access ya kila taarifa nchi Tanzania japo hawez kupata zote

Maelezo yao yatatupa Taarifa kuhus wao
Hata Namna ya Uandishi wake ni katika mfumo ambao Lazima ataku'panic kisha kirahisi Sana na ndio mana Twitter nzima imejaa wakosoaji wasio na Sababu za Msingi Sababu akina kigg2014 They do know how to deals with people Mind Wanalisha watu sumu kila kukicha, Na watu wala hawashtuki wala Nini, Ni mwendo wa kuunga tella tuu

Hata Libya before kifo cha gadaffi Fukuto Fukuto lilianzia mtandaoni

Tuwe Makini Sana na Upinzani
Kam ni MAAFA yatatukuta Wote Sio CCM pekee
 
Kweli
 
Nitawakumbusha Marekani soon baada kuingia utawala wa trump. Alisikika akisema nataka americans waitawale Africa kwa mara nyingine.

Kilicho fanyika Libya sidhani kama kuna mtu amesahau na endapo unakumbuka sidhani kama mtu mwenye akili atakubali kuingia kwenye hii trap.

Haijawahi tokea Marekani akapenda Maendeleo ya nchi yeyote katika dunia hii.
 
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Sema maendeleo huja kwa kufanya kazi kwa bidii bila kuporwa wala kunyang'anywa au kuonewa na mazingira ya usawa kwa kila raia.

Nje ya hapo ni uonevu ambao hakuna binadamu anaweza vumilia
 
CCM unafanya Watanzania Ni wajinga..

Magufuli aliondoa FAO la kujitoa

Wafanyakazi sekta binafsi wanakosa haki zao.

Mtu aliyenyimwa mafao baada ya kufukuzwa kazi au mikataba kuisha...ana Amani gani?

Chadema watarejesha FAO la kujitoa

Watanzania Wana Jambo lao 28
 
marekani hajawai kupata maendeleo kihalali hata siku moja. Wote tunamjua vuzuri hivyo ndivyo alivyo zoea kupata maendeleo kiujanja ujanja. Maendeleo yao ni ya wizi wizi wa kupora mali. Wakati wenzao wanaumia
 
Sema maendeleo huja kwa kufanya kazi kwa bidii bila kuporwa wala kunyang'anywa au kuonewa na mazingira ya usawa kwa kila raia.

Nje ya hapo ni uonevu ambao hakuna binadamu anaweza vumilia
U. S, BRITISH, FRANCE, hizi nchi zote zimejipatia maendelea kwa kupora mali
 
CCM unafanya Watanzania Ni wajinga..

Magufuli aliondoa FAO la kujitoa

Wafanyakazi sekta binafsi wanakosa haki zao.

Mtu aliyenyimwa mafao baada ya kufukuzwa kazi au mikataba kuisha...ana Amani gani?

Chadema watarejesha FAO la kujitoa

Watanzania Wana Jambo lao 28
Sawa, ila tusiwadanganye watanzania kwamba Marekani akiingilia mambo yao basi watapata maendeleo.
 
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
sawa tumekuelewa, ila kama mnataka hayo ccm tuachieni nchi yetu kwa amani
 
Sawa, ila tusiwadanganye watanzania kwamba Marekani akiingilia mambo yao basi watapata maendeleo.
Kwa hiyo tuwadanganye Kuondoa FAO la kujitoa Ni Haki?

Chadema itarudisha FAO la kujitoa

CCM na MAGUFULI walipora fao la kujitoa

Wafanyakazi wanyonge sekta binafsi watapigia Kura wabunge wa Chadema kwa wingi..tuondokane na Ndioooo za mabonge ya CCM
 
Sawa, lkn umeanzia mbali sana ungeanza kutueleza kabla ya kufika hapo US mwenyewe alianza na vita ya ndani (watu weusi vs weupe) - akina Martin Luther King waliuawa wakati wakipigania maendeleo ya watu

Sasa sisi tuna bahati nzuri kwa sababu kuna mataifa mengi ya mfano ambayo yamefanya chaguzi kisha yakakabidhiana nchi bila fujo i.e Nigeria (Buhari vs Jonathan); Malawi (Chakwera vs Muthalika)

Kwa hiyo ikitokea mitifuano itakuwa sababu ya viongozi wasiojua kutafsiri katiba na wenye uchu wa madaraka
Umemaliza kila kitu.
Mwenye uwele hatakuelewa na mwenye Upofu wa mawazo hatokuelewa .
 
Kawafundishe watoto wako unaowalipia karo na kuwanunulia chakula. Hapa JF tuna akili kuliko wewe. Tutampigia kura TL.

Back
Top Bottom