adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Ni ni mtazamo wenye makosa kuwa usipojua kiarabu duniani hautoweza kuzungumzia huko akhera , Waislamu tunajifunza kiarabu ili tuweze kuifahamu vyema dini yetu kwani asilimia kubwa kabisa ya elimu ya dini ya Kiislamu ipo katika lugha ya kiarabu.
Kuhusu lugha ya peponi kama ni hivyo basi mtu yeyote akiingia huko InshaAllah ataweza kuzungumzia iwe anajua ama haujui kama ilivyo mtu anazaliwa anajua lugha yake .... na Allah anajua Zaidi.
Kuhusu lugha ya peponi kama ni hivyo basi mtu yeyote akiingia huko InshaAllah ataweza kuzungumzia iwe anajua ama haujui kama ilivyo mtu anazaliwa anajua lugha yake .... na Allah anajua Zaidi.