Watanzania tujifunzeni kiarabu

Ni ni mtazamo wenye makosa kuwa usipojua kiarabu duniani hautoweza kuzungumzia huko akhera , Waislamu tunajifunza kiarabu ili tuweze kuifahamu vyema dini yetu kwani asilimia kubwa kabisa ya elimu ya dini ya Kiislamu ipo katika lugha ya kiarabu.

Kuhusu lugha ya peponi kama ni hivyo basi mtu yeyote akiingia huko InshaAllah ataweza kuzungumzia iwe anajua ama haujui kama ilivyo mtu anazaliwa anajua lugha yake .... na Allah anajua Zaidi.
 
Hii inaitwa ITL ..... International Terrorist Language
 
Wabheja sana😂, mimi kipengele cha peponi tosha kabisa sihitaji cha ziada

Hivi ni nani asietaka kubonga na malaika kwa lugha yao

Sipati picha wale 72 ntakaopewa jinsi nitavyokuwa nawaimbia nyimbo za kiarabu😂😂
 
Miafrica tumelaaniwa. Hiz din zinatupumbaza tumeshapoteza lengo. Dini kwetu zimekuwa kama simba na yanga CCM inazitumia kutupumbaza tunasahau kufuatilia ya msingi.
 
NAKAZIA [emoji419][emoji375]
 
Miafrica tumelaaniwa. Hiz din zinatupumbaza tumeshapoteza lengo. Dini kwetu zimekuwa kama simba na yanga CCM inazitumia kutupumbaza tunasahau kufuatilia ya msingi.
Dini ya kweli ni moja tu, islam
 
Hizo sababu zngine pia mbona nmeziandika kwenye Uzi wangu.

Kuhusu iyo ya kwanza nlisoma hapa:
Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah (may Allaah have mercy on him) said: Similarly, Abu Ja’far Muhammad ibn ‘Abd-Allaah al-Haafiz al-Koofi, who is known as Mateen, told us: al-‘Ala’ ibn ‘Amr al-Hanafi told us: Yahya ibn Zayd al-Ash’ari told us: Ibn Jurayj told us, from Ibn 'Abbaas (may Allaah be pleased with him) that he said: the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Love the Arabs for three reasons: because I am an Arab, the Qur’aan is Arabic, and the language of the people of Paradise is Arabic.”

Al-Haafiz al-Salafi said: this is a hasan hadeeth
 
Kwamba mungu wao ni mwaarabu
 
Sasa itakuaje kwa wale ambao wamekataa kabisa uislam kama Wachina, Wahindu, Wabudha, Wajapan, Wakorea, Manasara n.k

Allah atawafanya nini hao maana kiarab hawajui na hawataki uislam.
Anayekataa uislam hawezi kuonja Raha ya jannah ya Allah. Hao kwao motoni
 
No one said he can not or has no ability to speak other languages. He spoke to Moses,Issa and other prophets in other languages. But arabic is special because it is the mother of all languages. It was the language spoken in Eden
 
NimeEdit post .
 
Aisee, jambo jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…