Pesa zinalipwa na wazawa.Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda,
Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo? Hivi hili tatzo la ajira litaisha lini kama kazi ndogo tu kama hzo tunawapa wageni au ndio kuna 10% kwa waheshimiwa husika hapo?
Imeniuma sana
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda,
Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo? Hivi hili tatzo la ajira litaisha lini kama kazi ndogo tu kama hzo tunawapa wageni au ndio kuna 10% kwa waheshimiwa husika hapo?
Imeniuma sana
Engine nimeona ilikuwa sijui dodoma au wapi majengo tu ya hospital nayo kapewa mchina mpka nikashangaa hawa watanzania mbona hawapewi shida nini?Pesa zinalipwa na wazawa.
Mkuu haya mambo hayaitaji hasira
Wa madhabahunj hula.madhabahun
Mchina akikupa.msaada sahau kupewa mtz anampa meenzie hela zirudi kulekule kwaoo sisi.tuendelee kubeba yale.machuma tu
Sio mchina hata merman hela I arudi kwao unalterable mkandarasiSio hii tu kuna
Engine nimeona ilikuwa sijui dodoma au wapi majengo tu ya hospital nayo kapewa mchina mpka nikashangaa hawa watanzania mbona hawapewi shida nini?
Kuna kazi unaona kabisa hii wala haiiitaji mchina wala mzungu inaweza kufanywa na wazawa na ikaenda vizuri tu ila hawapewi mi nahisi kuna jambo behind
Tatizo kubwa la Wabongo ni ubadhirifu na nidhamu mbovu kazini. Seriousness ni finyu sanaaa. Tubadilike, wapo wachache wanaofanya vizuri lakini kundi kubwa ni hovyo. Aidha, nyuma ya haya pengine kuna 10% kama ilivyoelezwaSio hii tu kuna