Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 673
- 1,915
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda.
Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo?
Hivi hili tatzo la ajira litaisha lini kama kazi ndogo tu kama hzo tunawapa wageni au ndio kuna 10% kwa waheshimiwa husika hapo?
Imeniuma sana