Watanzania tujitafakari

Watanzania tujitafakari

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda.

Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo?

Hivi hili tatzo la ajira litaisha lini kama kazi ndogo tu kama hzo tunawapa wageni au ndio kuna 10% kwa waheshimiwa husika hapo?

Imeniuma sana
Screenshot_20241130-000241_Instagram.jpg
 
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda,
Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna haja gani ya kuwapa wageni wakati wazawa wapo tele wenye uwezo? Hivi hili tatzo la ajira litaisha lini kama kazi ndogo tu kama hzo tunawapa wageni au ndio kuna 10% kwa waheshimiwa husika hapo?

Imeniuma sana
Pesa zinalipwa na wazawa.
Mkuu haya mambo hayaitaji hasira
Wa madhabahunj hula.madhabahun

Mchina akikupa.msaada sahau kupewa mtz anampa meenzie hela zirudi kulekule kwaoo sisi.tuendelee kubeba yale.machuma tu
 
Kiongozi uliomba ukanyimwa au keyboard warrior na malalamiko kama jadi? Wazawa hawa wasiojua hata kuandika barua ya maombi ya kazi? Wajiendeleze kwanza
 
Sio hii tu kuna
Pesa zinalipwa na wazawa.
Mkuu haya mambo hayaitaji hasira
Wa madhabahunj hula.madhabahun

Mchina akikupa.msaada sahau kupewa mtz anampa meenzie hela zirudi kulekule kwaoo sisi.tuendelee kubeba yale.machuma tu
Engine nimeona ilikuwa sijui dodoma au wapi majengo tu ya hospital nayo kapewa mchina mpka nikashangaa hawa watanzania mbona hawapewi shida nini?
Kuna kazi unaona kabisa hii wala haiiitaji mchina wala mzungu inaweza kufanywa na wazawa na ikaenda vizuri tu ila hawapewi mi nahisi kuna jambo behind
 
Sio mchina hata merman hela I arudi kwao unalterable mkandarasi
 
Kingine wapigaji ndugu zetu
Wanachopewa kwenye makaratasi na wanachofanya tofauti bilakujali dhahama yambelen so kujilinda wanadili na watoa funds
Mbaya wengi wanaokuja n wafungwa mkuu sema wako vizuri balaa..kule kampuni I amsainisha dola kadhaa huku anapewa less chajuu wanakula wao
 
Watanzania waongo sana rushwa ndio imewadumaza hao wageni wanatoa mgao mkubwa sana kuliko Wazawa ingawaje kwenye kazi zao hao wageni kazi zao zina ubora kuliko Wazawa..
 
Sio hii tu kuna

Engine nimeona ilikuwa sijui dodoma au wapi majengo tu ya hospital nayo kapewa mchina mpka nikashangaa hawa watanzania mbona hawapewi shida nini?
Kuna kazi unaona kabisa hii wala haiiitaji mchina wala mzungu inaweza kufanywa na wazawa na ikaenda vizuri tu ila hawapewi mi nahisi kuna jambo behind
Tatizo kubwa la Wabongo ni ubadhirifu na nidhamu mbovu kazini. Seriousness ni finyu sanaaa. Tubadilike, wapo wachache wanaofanya vizuri lakini kundi kubwa ni hovyo. Aidha, nyuma ya haya pengine kuna 10% kama ilivyoelezwa
 
Wizi
Wizi
Wizi
Nidhamuu
Unakaribia kumaliza unashinda bar enng loh
 
Back
Top Bottom