Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Listen up my people, Watanzania wenzangu! It’s high time tujikumbushe kuwa hii nchi ni yetu sote, not just for a chosen greedy few. Tumekuwa tukichezewa kwa miaka kibao, na bado tunaambiwa tukubali, tuvumilie, tusubiri maendeleo – hell no! Enough is enough!
Tupo kwenye nchi yenye ardhi ya kutosha, madini ya kila aina, watu wenye akili na bidii za ajabu, but guess what? Bado tupo maskini kama vile hatuna chochote. Why? Because kuna system ya kifisadi inatubania every damn day. Tuna wazalishaji wengi sana – wakulima, mafundi, wajasiriamali – lakini walaji ni wachache, ni wale tu walioko kwenye system. It's like tuna grind every day but mafanikio yanabaki kwa elite. That ain’t fair, bro!
Hii ni real talk – tumechoka! Tukiendelea kuwa watu wa jokes, siasa za kupiga makofi na vicheko, huku watu wetu wanaangamia, basi tutaendelea kuteseka hadi mwisho wa dunia.
Watu wanapigwa skama na viongozi wao wenyewe – haki zetu zinachukuliwa, resources zetu zinauzwa kama njugu, bado tunaambiwa tuendelee kuwa wapole. Man, that’s emotional torture!
Let me tell y’all something. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka 1995, alisema:
CCM imekuwa madarakani since 1977 – that’s 48 damn years! Miaka yote hiyo, wanatupa barabara tu kama pipi. Every year ni "tunajenga flyover, tunapanua bandari" – but real life? People broke, watu hawana huduma bora, elimu iko chini, afya ni disaster. We can’t eat miundombinu, man! Hatuwezi kushiba kwa madaraja na minara ya 5G. Tuna-need system inayowainua wananchi wote, sio kutengeneza picha nzuri kwa TV na social media.
Hatutaki CCM tena. Straight up. Kama kwenye soka – kocha akiharibu, anatolewa. Why should CCM stay after all these Ls? Tumewapa almost five decades, lakini bado hatuna maendeleo ya kweli. Hii ni nchi, sio series ya Netflix ya kuwaangalia tu kila season wakifanya yale yale. No cap, tunataka kuwa na chama kingine. Hata kama si perfect, at least ni different. Maybe they'll fumble less than y’all.
Hii nchi ni yetu wote. Na right now tunasema loud and clear – GET OUT! Kama hamuelewi rejection, basi jifunzeni. This ain’t personal – it’s revolutionary. Time ya kugeuza meza imefika. Hatuhitaji kumbembeleza mtu yeyote tena.
Na kwa mashabiki wa system waliolishwa propaganda hadi wamebaki na ubongo wa kujiuliza "kwani upinzani wanaweza nini?" – Bro, hata mlevi anaweza kuongoza bora kuliko system iliyotufikisha hapa. Give someone else a chance. Tukifail, at least ni failure mpya – siyo hii ya miaka 48 yenye sura ya matumaini lakini moyo wa uharamia.
So yo, tukatae ujinga kwa bei yoyote. Tuvue hofu, tuvunje minyororo ya kifikra. Hii Tanzania ni yetu, si yao peke yao.
It’s time for bold choices, loud voices, and real changes.
Tanzania si playground ya mafisadi – ni ardhi ya watu wanaojua wanachotaka.
Let’s fkin’ wake up!

Alisema hivi akiwa ameona jinsi tulivyokuwa tunaanza kulegea kiakili. Na sasa hivi, tumelegea kiasi kwamba hatujui kama tupo kwenye game au tumewekwa benchi."Watanzania msipojikomboa wenyewe, msitarajie mkombozi kutoka nje."