Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Hila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu
Hakuna jitu katili duniani kama mwarabu unajua aliwahasi Babu zako ndo maana hakuna Black Arabs, mnaonipendekezaga kwenda arabuni Kwa kigezo Cha uislam mbona mkifika kule mnaishia kupewa kazi ya kuwachambisha Kwa ndimi zenu, mara kunyewa mdomoni, kufukuliwa mtaro ndo Kila siku, yaani mtu mweusi kujipendekeza Kwa mwarabu ni kukosa akili
 
Dini ya kiislamu imeanzishwa na haohao Vatican.

Hawa kula nao jino kwa jino tu... Wanaonyesha chuki zao kweny fake Id wajinga hata wakitaka tuchapate fresh tu.

KABISA KABISA,KWANZA KAFIRI WENYE AKILI NI WACHACHE SANA,MOST OF THEM WANAENDESHWA KWA MKUMO NA CHUKI,TUNAJUA KUWA CHUKI NI ASILI YAO KWETU,LAKINI KUWAJIBU TUTAWAJIBU KAMA WANAVYODESERVE KUJIBIWA
 
Acha muhemko leta hoja kwani wanauziwa au wanapewa tenda ya kuendesha uwanja. Nchi inahitaji mapato kutokana na kodi kama mpaka leo unaendeshwa kwa hasara kuna ubaya gani kama una binafisichwa, kwa mwekezaji, yoyote mwenye uwezo ata kama sio muarabu au muarabu,........tatizo lako ni chuki na muarabu sio kingine.

Suala ni kuwa wapewa dhamana wanatumia mali za umma kufanya deals zao kwa kisingizo cha kuongeza mapato wakati kinachoongezeka ni urasimu.
Tukumbuke muda unakwenda haraka. Kesho tutasikia hao hao wanaojikita katika kugawana mali za umma kwa migongo ya kuwekeza wanasema ni uwekezaji mbaya.
Hakuna mtu atakayemrithisha mtoto wake kitu ambacho sio cha kwake. Mwenyezi Mungu anayeona yote, hataruhusu...ni kukumbushana tu sababu hatuishi milele. Tujifunze kuwa na kiasi.
 
Km mikataba itakua ni bora bas akuna ttzo suo jukumu la serikal kuendesha kila shuguli
Tusipende kupinga kila kitu vtu vingne ni kuangalia mikataba km inalipa bas wacha wapewe

Kazi ya serikal ni kuandaa mazingira mazuri kwa watu kufanya biashara na sio serikal kufanya biashara
 
Viongozi wetu ndivyo walivyo.

Hayo ma vx wanatumia kuzungukia maeneo ya kutupiga.

Ukiwaona na misafara na suti zao utadhani watu kumbe wapigaji tu.

Shenzi kabisa.

Na mpaka bi mdashi asepe ni kengele zetu tu ndio zitakua zimepona otherwise kila kitu kitakua kipo hatarini kupotea.
 
Watanzania ni mazombie hata uwafanye nini ni sawa tu. Hapo atakuja Mwijaku na Steve Nyerere kufafanua. Kabla hamjakaa sawa Simba na Yanga wanaamua kucheza mechi ya kirafiki. Mchezo kwisha!

Rahisi sana kutawala (mbu)×3 🚮
 
Viongozi wetu ndivyo walivyo.

Hayo ma vx wanatumia kuzungukia maeneo ya kutupiga.

Ukiwaona na misafara na suti zao utadhani watu kumbe wapigaji tu.

Shenzi kabisa.

Na mpaka bi mdashi asepe ni kengele zetu tu ndio zitakua zimepona otherwise kila kitu kitakua kipo hatarini kupotea.
Ngoma bila kulewa tutaichezaje?
 
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa kila rasilimali za nchi hii kupewa Waarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe Oman? Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua!
Hizi ajuza kweli akili anazo...ndio shida ya msimbe kua kiongozi
 
Ma hao waarabu biashara zao zote kubwa zinasimamiwa na wazungu,hata mashirika yao ya ndege yako chini ya wazungu,wenzetu masuala ya udini washayaacha toka karne ya 17 huko,kikubwa mikataba iwe win and win basi dini zinabaki misikitini na makanisani
Hakuna mzungu anaesimamia biashara ya Mwarabu sema biashara zote kubwa za uwekezaji kwa majina ya waarabu zinamilikiwa na wazungu. DPW
 
Kama wana sifa za kuendesha huo uwanja acha wakabidhiwe tukusanye kodi. Na kama wanaweza wapewe pia mwendokasi ya Dar waendeshe wao kwasababu sisi tumeshindwa. Haya mambo ya uzalendomavi ndo yametukwamisha. Watu wanakabidhiwa shirika la umma na kuishia kujinenepesha na familia zao huku watanzania 60m wakitaabika.
 
Wapewe kama wawekezaji na waendeshaji hakuna tatizo cha msingi mkataba usiwe wa mangungo na lobengula
 
Back
Top Bottom