Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

Acheni wapewe wanaume wachapa kazi muone matokea. Wizi, uzembe na utapeli kazini vina muarubani wake, ndio huu.
 
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.

Watanzania wenzangu tukatae sasa kila rasilimali za nchi hii kupewa Waarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe Oman? Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.

KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua!
bandari zote za bahari, maziwa na mito ni mali ya waarabu.
Mbuga zote ni mali ya waarabu
sasa airports zote tumeanza kumilikisha waarabu.

Mama macho mlegezo hatabakisha chochote akipewa 5 mingine!
Vyote buuure kwa wajomba!
Mabumunda ya ccm yapo kama makarai ya mavi!
Hadi tupigane ndiyo yataamka!
 
Ona ulivyokuwa hanithi ! Wewe unajua nn? Soma nilichaondika ...Tafuta elimu dogo acha kuwa mjinga ....Huo uwanja umeendeshwa miaka kibao na KADCO kipind bado unaishi kijijini kwenu..p

Unajua swissport nao pale JNIA ,unaonekana mshamba sana ...Ninacholaumu hapa kwa nn TAA isiwe kubwa miaka kibao karibia 20 kweny industry wanashindwa kuendesha hivyo viwanja mpaka wanapewa private..
Private ni oman tu!! Rubbish brains! halafu unaita wenzako hanithi. Wewe habith bado kidogo mkubali kuwa matowashi wa waarabu!
 
Hila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu
hila ndio kitu gani hicho?

Mbona wajinga mnaongezeka kwa kasi?


Tukileta mada zinazoelekeza namna ya kuboresha elimu yetu, mtuunge mkono
 
Siongei na mashoga kaa pembeni ,soma na uelewe nn nimeandika? Nan kakwambka watakuja oman?

Punguza ushamba dogo.!!
Wewe mbwa shoga tafuta Mbwa kama wewe umjibu kishoga shoga hivi! Fucken bastard
 
Wafanye kama walichofanya Rwanda kwa Qatar [emoji1203]
Wawape uwanja on condition that they build new and modern structures and infrastructure
Ila sina hakika kama haya mafala ya ccm yanaweza kufanya hivyo.
KIA ni mmoja ya viwanja ambavyo everything is substandard
 
Hila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu
Ndio kwa sababu muislamu Hana ustaarabu mzungu Ana utu ,roho nzuri ,wademocrasia ,siyo wanyonyaji na wanalipa mishahara mizurin

Sasa muarabu muhindi anaweza kukulipa nn


Mzungu Ni mtu na nusu

Over
 
Kwahiyo yesu ndie mungu wenu?
Siyo mungu, ni Mungu.......unapotumia herufi ndogo hao ni miungu ambayo ni inferior kwa Mungu Mkuu ambaye katika Uungu huo Yesu Kristo ni mmoja wao, Mungu mmoja katika nafsi tatu.....yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Yesu Kristo ndo anajulikana kama Mungu Mwana.....​
 
KIZIMKAZI hajui kitu kuhusu nchi hii.Tukisema tunaonekana wafia nchi.Hapana ni hajui nawambia mambo mengi Kwa sasa ovyo kabisa. Rushwa imetamalaki mpk kero nawambia watanganyika. YY anacho weza ni kuteua na kutengua TU. Ona sukari kilo moja ni 5000. Na bado kapiga kimya kabisa
 
Siyo mungu, ni Mungu.......unapotumia herufi ndogo hao ni miungu ambayo ni inferior kwa Mungu Mkuu ambaye katika Uungu huo Yesu Kristo ni mmoja wao, Mungu mmoja katika nafsi tatu.....yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Yesu Kristo ndo anajulikana kama Mungu Mwana.....​

Mungu gani anakula na kwenda choo?
 
Back
Top Bottom